Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,008
- 100,227
Hii mada hata kama siku hiyo hutaki kugusa ukishaingia tu kuisoma unajikuta unatafuta njia ya pub ilipo
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niangalie tarehe.. Btw tumepewa zawadi ya sikukuu na mweka hazina wetuHahahaha, asee ni kweli Kabisa sijui kwann ,au mkuu wakati unaiandaa ulikua umetoka kilingeni?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niangalie tarehe.. Btw tumepewa zawadi ya sikukuu na mweka hazina wetu
Asante sana mweka hazina... View attachment 981001
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana nimemshukuru tu kwa zawadiMmmh huyu ndio mweka hazina Blaki Womani ?
Asee JF kiboko,acha nilewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugali kwa tembele na samaki wa kukaangaNlikunywa juice ya tiki kiti na mbegu zake
Badaye nakula ugali mkbwaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Matamu [emoji23][emoji23][emoji23]Haya maji meupe haya
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu eb fanya kunipitishia na mm ata kwenye kile kitundu cha kupitishia funguo nione kama inafaa kwa misimu yote ya mwaka..Ebu njo we mzee kwanza ulipitishiwa kitu chini ya mlango usiniambie picha zangu na wewe zimekufikia shikamoo jf
Hahahaha wameshindikana hata mtaaniHahhaha watu wa jf hapana jamani
Nikupitishie ninii na imengangania nini[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu eb fanya kunipitishia na mm ata kwenye kile kitundu cha kupitishia funguo nione kama inafaa kwa misimu yote ya mwaka..
Nimekuja kutoa lock mahali nashangaa imeng'ang'ania sijui nimekosea wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawafai kabisa
Eehe eeehe balaa ganiii hili mwenyekiti[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niangalie tarehe.. Btw tumepewa zawadi ya sikukuu na mweka hazina wetu
Asante sana mweka hazina... View attachment 981001
Jr[emoji769]