Unafanya kazi huku ukila bata ndo mpango sio kazi tu na kupangiana muda wa kutumia pesa uliyotafuta kwa jasho lako ni upunguani.
#kazinabata[emoji106][emoji106][emoji23][emoji23]undezi kbs
😍#kazinabata[emoji106][emoji106]
Tunapoelekea mwisho wa mwaka, mlevi/mnywa pombe bora ni mrangi anayebisha ajifanye anajikuna...
hivi @blaki woman yuko wapi?
@blaki womani huwa sio mchoyo wa kushare nasi. itakua kafichwa sehemanajinywea kwa raha zake[emoji4]
😊😊😊😊KazinaBata!@blaki womani huwa sio mchoyo wa kushare nasi. itakua kafichwa sehem
[emoji4] Unakunywa nini hapo bibie saa hivi?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]KazinaBata!
sinywi kitu nna hangover toka juzi..kuna bishost kaniita kizembe fika pale nakuta mambo hv🍺🍻🍷🍸🔥🔥🔥 mbaya zaid sikua nimekula siku nzima[emoji4] Unakunywa nini hapo bibie saa hivi?
wewe je unaning'iniaje leo😊[emoji4] Unakunywa nini hapo bibie saa hivi?
Kapige hizo red's unakuwa mcharosinywi kitu nna hangover toka juzi..kuna bishost kaniita kizembe fika pale nakuta mambo hv[emoji481][emoji482][emoji485][emoji483][emoji91][emoji91][emoji91] mbaya zaid sikua nimekula siku nzima
hahaa yaan hpa ni zaid ya mgonjwa[emoji26][emoji26][emoji26] ila moyo unanishawishi unaniambia manengelo toka ukanywe redds 3 urudi upumzike[emoji4][emoji4]naikataa haitak inanijia tu ![emoji4]!Niombee (in magu voice)
😂😂💪👊Kapige hizo red's unakuwa mcharo
ushauri kuntuKapige hizo red's unakuwa mcharo