Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ukipumzika kesho itakuwa tamu sana
Jumatatu napumzika maana Dah
Nko kwa mangi sahv

Ova
20180929_200033.jpg
 
Niko hapa na meneja wa bia,anawapongeza wanachama wote pia anawaomba muendelee na moyo huo huo wa kuwaunga mkono ili waendelee kuishi mjini.bia oyeeee....,supa brandi namba moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom