Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

M
Pumbavu kabisa. Kwaio sababu utakufa kwaio unaona ujiwahishe mapema kwamba usijali afya yako, uue kama si kuunguza maini yako, uharibu ubongo wako, sababu utakufa ..akili mavi za wapi hizi..
zee duniani tunaishi kwa probability umesahau nini how many people died at the middle aged whom was not drinking alcohol
 
Kwishney
JPEG_20210710_175508_7441696953711559924.jpg
 
Wadau kwanini mimi nikilewa nakua conscious kweli yan natoa madini ya kutosha ila nikiwa normal nina aibu na kingine nikiutwika sana naanza kulia
Ukonkama mimi mwanangu. Nikitaka kuja na mawazo makini sana napiga vitu alafu nondo nazotoa singeweza kutoa nikiwa normal. Yaani conscious mind inafanya kazi sana
 
Huwa inakuaga nn mkuu?
Sijajua labda ma dactari wanajua watuambie. Kuna mkataba natakiwa kwenda kusaini jumatatu lazma nipige supu asubuhi na bia kadhaa alafu ndo niende najua nikisoma ndo ntaelewa na ku make wise,rational and well informed decision [emoji23][emoji23]
 
Daaah umetisha sana fanya hivyo mkuu ila najua jf kuna wadau wa afya watatupa majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom