Kula ushibe sasa..usilambe mifupa ukaacha nyama
Club Joker....Wakuu tupeane location
Star city Singida later Rode night club til morningWakuu tupeane location
Wayaaaa mpaka monie mkuu
Ila mwaka sisi ndio tunaongoza mkuu tujipongeze kwa kuunga juhudi za 😂😂😂
Pasi na shaka iyo ni mbuzi katoriki mkuu 👍👍👍
Wayaaaa mpaka monie mkuu
Mkuu umelewa mbona maneno yanaishia kati katiK
Ila mwaka sisi ndio tunaongoza mkuu tujipongeze kwa kuunga juhudi za [emoji23][emoji23][emoji23]