Mkuu mshana jr nashukuru sana kwa thread yako hii, kuna vitu vimenisaidia. Mimi naomba tu kujua mafundi wazuri, kwa service ya gari hizi Raum new model na Toyota Voltz. Kwa Dar, fundi wa mwanzo niliyekuwa naye now hayupo.
Ha ha haaaa hili gari fanyia overhaul kabisa maana hata ukibadili ring tu bado sleeve imechimba sana!!!!labda aombe mwanamke, maana mwanamke akilegeza sauti..."jamani invidhiboo, tunaomba jukwaa la mapishii, na la mmu..ah, usisahau na chitchat jamani dia", hapo Invisible mwili wote unamlegea legelege, faster anamake sure.
Sio miguu, ni matairi.
Ha ha haaaa hili gari fanyia overhaul kabisa maana hata ukibadili ring tu bado sleeve imechimba sana!!!!
Kweli is never boring, live longer JF
hahahahah, nunua half engine mjombaaa!
kwani ilivozungusha aliichabanga mpaka ikasiz yenyewe?Ngoja head irudi tujue kama haija bend
Mkuu nisaidie mafundi wazuri na wa uhakika wanapatikana wapi??
Hivi kwa nini House Girl kuachiwa mtoto sio ishu lakini huwezi kusikia House girl kaachiwa gari?
Samahani kwa kuchelewa kujibu je uko wapi kama dar nenda kijitonyama mitimirefu kunagereji hapo wako vizuri
Mkuu Mazoko nashukuru.. nitajitahidi nifike maeneo hayo...
Kwenye Mark X engage manual transmission then button zagear zipo chini ya steering, lakini tumia tu auto ndio kisasa S+ na S- nafikiri ni D1 na D2, D1 ya mwinuko na tifutifu D2 utelezi
Unaweza uka nipm nikupe namba yafundi ukiona unahitaji
Hili nipe muda ila V6 always ni six cylinder na hiyo 2.0 si lazima iwe six