Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

.
Mkuu naomba pic yake
01_l3-1.jpeg
spec_a2699821-7600-4527-8958-c2575e7cded3_640_0.jpeg
01_l3.jpeg
 
Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
 
Gasket na plug ulivyobadili ni original?
Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.

Jr
 
Wakuu hv kuna uwezekano wa kuinstall push kwenye subaru impreza ya 2008? Ina keyless entry ila nahitaji na push to start niende na wakat zaid
Naomba kujuzwa kama inawezekana na haitaathiri mifumo mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom