Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hapana haitoi moshi kabisa ila asubuh ndo inatoa moshi wa kijivu na maji kwa injini ila ikiwa tambalale haisumbui inaenda tu vizur tatizo kwenye mlima inachelewa kweli kuchanganya na inataka tu gia kubwa.
 
Msaada,,kioo cha mbele cha dereva hakipandi wala kushuka,ila vioo vingine viko vizuri,wapi naeza kubadilisha hi mashine ??gari ni mercedes c class
Pia natafuta maeneo kwa arusha wanaofanya service Mshana Jr
 
Nitumie model ya gari... Au part serial number
 
Msaada,,kioo cha mbele cha dereva hakipandi wala kushuka,ila vioo vingine viko vizuri,wapi naeza kubadilisha hi mashine ??gari ni mercedes c class
Pia natafuta maeneo kwa arusha wanaofanya service Mshana Jr
Ingia Google ukishaipata agiza kupitia Aliexpress, eBay Alibaba nk
 
Hapana haitoi moshi kabisa ila asubuh ndo inatoa moshi wa kijivu na maji kwa injini ila ikiwa tambalale haisumbui inaenda tu vizur tatizo kwenye mlima inachelewa kweli kuchanganya na inataka tu gia kubwa.
Gari nzima sana hiyo tatizo hapo ni gearbox tu.. Ule moshi unaoona asubuhi ni mvuke na engine kutoa maji ni sahihi kabisa... Inaonesha uzima wake
 
Msaada,,kioo cha mbele cha dereva hakipandi wala kushuka,ila vioo vingine viko vizuri,wapi naeza kubadilisha hi mashine ??gari ni mercedes c class
Pia natafuta maeneo kwa arusha wanaofanya service Mshana Jr
Usifikirie kubadilisha mashine kwanza mtafute fundi mzoefu wa umeme akuangalizie, niliwahi kuwa na tatizo hilohilo nikawa najipanga kubadili mashine kama unavyowaza wewe siku niko vizuri nikaenda kwa fundi huwezi amini kazi ya dakika 5 tu na akasema nimlipe 6000! Hadi leo halijanisumbua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…