Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hakuna shida yoyote ndio inatakiwa iwe hivyo na taa itakayoendelea kuwaka ndio itakupa tahadhari ya tatizo husika
Shukrani maana kuna fundi ameniambia kuchek engine kwa computer nimpe 50 daahh tutalizwa sana tusiojua asante kwa Uzi huu
 
Madhara yapo makubwa tuu mkuu.

Usitumie.hivyo fanya mpango uipunguze.
Kwanza inaweza kuharibu seal mbali mbali za kwenye engine.inaweza fumua seal na hata kuludisha au pandisha oil kwenye mainford na kama gari ya turbo unaweza ua,haribu turbo
Mkuu upo sahihi kabisa. Kuna jamaa alizidisha oil kwenye gari aina ya terios kid, alipoendesha umbali flani oil ikamwagikia juu ya turbo.
 
Sema maelezo yako ndio kifo chako..na ukiwa hufaham kitu kubali kuwahufaham ili uweze kufahamishwa lkn ukiwa hufaham harafu ukajitia kufaham itakula kwako.
Shukrani maana kuna fundi ameniambia kuchek engine kwa computer nimpe 50 daahh tutalizwa sana tusiojua asante kwa Uzi huu
 
Jamani naombeni msaada,nina gari toyota issis ,kunasiku nilibeba watoto wa shule,nilipo wafikisha nikafungua mlango ule wakufungua automatic,sasa wale watoto walivyotoka nikafunga kumbe begi la mtoto lilikuwa mlangoni,mlango ukagoma kujifunga nikalazimisha kuna kiwaya kipo kwenye mlango kika chomoka nika jaribu kukirudishia kikaingiamango ukafunga sasa tangia hapo taa ya mlango inawaka tu sijui nifanyeje wakuu naombeni msaada wenu wajuvi
 
Asalam aleikhum /bwana yesu asifiwe /namaste brother & sisters.
Jina langu renyo msuya, kutoka Autocom Japan Inc,
Wauzaji wa magari mazuri kutoka Japan, kwa bei nafuu sana na ya kitanzania kwa ubora wa hali ya juu sana.
Agiza gari lako na Autocom ufurahie Thamani ya gari lako,
Karibuni katika branch offisi yetu iliyopo Quality center shopping mall, Mtava along nyerere/Pugu Road.
Contact 0677-174-806
WhatsApp 0767-328-063
Email :msuya@autocj.co.jp
Websites :autocj.co.jp

1fdda3829662da1a5063ba04f0931cac.jpg
d501aeaa03c8b780bb5f849e0c59204b.jpg
835c1c4073d699066a52e35e74ff5966.jpg
 
Daahh mko vizur sana jamaa ndinga yangu mmeniagizia pia safi kazi nzur
 
Jamani naombeni msaada,nina gari toyota issis ,kunasiku nilibeba watoto wa shule,nilipo wafikisha nikafungua mlango ule wakufungua automatic,sasa wale watoto walivyotoka nikafunga kumbe begi la mtoto lilikuwa mlangoni,mlango ukagoma kujifunga nikalazimisha kuna kiwaya kipo kwenye mlango kika chomoka nika jaribu kukirudishia kikaingiamango ukafunga sasa tangia hapo taa ya mlango inawaka tu sijui nifanyeje wakuu naombeni msaada wenu wajuvi
Jaribu kuchomoa hicho kiwaya harafu angalia kama hiyo taa itawaka kama utachomoa na taa itazimika inamaana hiyo switch ya mlangoni ndio yenye shida
 
Subaru Forester new model (kuanzia mwaka 2008), je zina madhaifu gani (upatikanaji wa spea, ulaji mafuta) ukilinganisha na zile model za nyuma? Any technical problem! Msaada please.
 
Naomba kujua kuhusu mazda tribute, zina matatizo gani, upatikanaji wa spare, gharama za spare na ulaji wa mafuta.
 
Sorry kwangu zote hizi ni new model kwani sizijui vema
 
Msaada naweza funga injini gani ya toyota?View attachment 529779View attachment 529780
Kwani hii gari imekufa nini? Mbn engine zake zipo tu bila hata kupiga modification yeyote. Imekufa turbo au?
Maana hapo kama ni kubadili engine, kwa elimu yangu finyu ya magari inabidi ubadili vitu vingi. Ubadili Engine, control box na gearbox. Na hapo inabidi utafute engine ya 1hz turbo intercooler. So kwa hiyo option mie naona ni way too expensive kuliko kutafutia engine yake.
Wataalamu zaidi njooni and am standing to be corrected
 
Msaada naweza funga injini gani ya toyota?View attachment 529779View attachment 529780
Mkuu acha hiyo kitu unayotaka kufanya ni kuharibu gari zaidi utaanza kuchomea chomea drive shaft mounting n.k hivyo gari linakuwa kama toroli mm gari ambayo ishafanyiwa hivyo nikiendrsha speed kubwa sana ni 60 au 70 maana nimajanga makubwa mda wote.

Kama engine imekufa nunua nyingine weka hapo basi.kuliko hizo engine unazotaka kuweka hapo nigarama kubwa sana zaidi ya hiyo ya gari hilo harafu utakuja kufanya modification nyingi sana pesa kwa fundi umeme,pesa kwa fundi welding,kwa fundi machenical,utanunua vitu vingine vya modification ingawa unaweza usinunue gearbox zaidi ya kubadili ball hausing.lkn hayo yote ya nini.ingawa inawezekana.

Tuache kasumba ya kusema gari bora ni toyota.kama fundi wako hawezi kuzimudu kuzitengeneza gari ambazo sio za toyota asikupe ushauri wa kumaandazi.na kijinga
 
Ni kweli mkuu fundi yupo sahihi.
Kwanza nianze kukulaumu na kuseme huo ni uzembe wa hali ya juu sana .

Kwa upande wangu hapo najua kitu ambacho kimeharibika ni valve lazima zitakuwa zimepinda ndio maana gari ina miss sana na hiyo pesa usilalamike wala sio nyingi kama ni jumla kwa kazi zote pamoja na garama ya kifundi.ina maana hapo lazima ufungue cyrinder head ubadili valve zilizo pinda,ubadili valve seal,cyrinder head gaskate,na kuifanyia service kbs.

Au kama vipi kanunue engine nyingine mswaki kama laki 7 au 8 hivi weka hapo..

Maana gx100 huwa inakuwa na kamiss flani hivi kanakera sana.hutokana na valve.
LEGE bei ya injini ya pajero gdi mswaki na nzima yaweza kuwa kiasi gani kwa huko Dar?
 
Back
Top Bottom