Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Hali ya usafiri imekuwa tete katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania baada ya baadhi ya mabasi yanayoenda mikoani kusitisha safari wakilalamikia mfumo wa pointi kwenye leseni.
-
Hata hivyo Jeshi la Polisi Tanzania limewaonya wanaojaribu kuzuia mabasi na malori kuendelea na safari zao na kudai kuwa taarifa zinazozunguka kuhusu mfumo wa pointi za leseni bado haujaanza kutumika.
-
-
-
#bbcswahili #usalamabarabarani #tanzania #mgomowamadereva
1790742027858.jpg
 
Back
Top Bottom