Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Kama Kuna Ulazima wa kufungia madereva Basi waanze na Madereva wa Malori ya michanga, kokote na mawe wa mjini Dar

Hawa watu wana maliza boda boda na watembea kwa Miguu sana, Hata watembea kwa Miguu.

Shida ni kuwa ajili zake ni za mtu mmoja au wawili hivi hazivumi sana ila kwa siku zinatokea nyingi sana. Wako rafu sana narabarani na hata ule utu hawana kabisa. Kuna.
 
Back
Top Bottom