Cheers.....Cheers. Happy 19th year
Wakat huo nilikuwa darasa la nneCheers.....
Been watching this for 16 years tangu ninunue TV first time in 2002
Anaitwa Sedima.....Huyu mganga wa kienyeji Gatanga ameanguka kwa Morongwa lakini yeye alikuwa anamcheka yule mwenzake (nimemsahau jina) alipokuwa anagawa mabunda ya fedha kwa ‘Rongwas’
Welcome to the hoodNaanza kuifuatilia tena leo
Hahaaaa mzee wa kula bata.... Ila ameingia kwenye 18 za mzee mzima Barker kaishia kupotezwa...Anaitwa Sedima.....
Kwenye you tube series huko jela amekuwa kama mafia king.... Huduma zake First Class na kwa sasa anaendesha kampuni yake from prison... I like the guy.Linc ni miongoni mwa waigizaji Wa Isidingo nilikuwa nampenda hasa misimamo yake na mikwara take ya kibabe sijuj kama atarudi tena au ndio mwisho wake?
Good jobMonday
Wakiwa sebulen kwa papa g obakeng anampropose kamo,katikati ya maongez kamo anagundua obakeng hana nia ya dhati ya kumuoa ila anajirazimisha sababu ya ujauzito alionao kamo. Kamo anakataa proposal ya obakeng,obakeng anashangaa
Gatanga anaenda ofisin mgodin na kumkuta matlala,gatanga anamlalamikia matlala kwa kumtesa morogwa hasa kwa kumtaka achague moja kati ya the rec na mgodin,matlala anamuuliza gatanga kama morogwa kamtuma,gatanga anakataa na kumtaka matlala awe na moyo wa huruma. Matlala anamwambia gatanga kuhusu sheria za hapo na kwamba morogwa anatakiwa achague sehemu moja ya kazi
Kamo anaurud kwao analia,mama ake anamuuliza,kamo anamwambia obakeng kamtamkia kutaka ndoa,nkadi anafurahi,kamo anamwambia kakataa ombi la obakeng kisha anaenda chumban,nkad anampigia simu nina na kumwambia kuna tatizo wanatakiwa kusuluhisha.
Hostel jamaa wapo mezan wakicheza karata,matlala anamtaka sibiya wakaongee pemben,wakiwa wamekaa peke yao matlala anamwambia sibiya kuhusu gatanga kulalamika kwa niaba ya morogwa,gatanga anashangaa na kusema gatanga anampenda morogwa,matlala aanabisha na kusema gatanga sio saiz ya morogwa,wakiwa wanaongea mara wanasikia jamaa wanaocheza karata wakilalamika,kumbe gatanga katoka chumban na ndoo akimwaga mwaga vitu vya maji maji sehemu zote hapo sebulen,sibiya anamtaka gatanga aache kuwatisha na uchawi wake na kumwambia kilikua kakijitabu ka kipuuzi tu,gatanga anawaangalia,matlala anamwambia yeye ndie aliyekichoma kitabu na kumtaka aache kuwatisha wenzie na akatoe vitu vinavyomuuma rum kwake. Gatanga anatabasamu na kuondoka
Penthouse,nikiwe anamuachia Wendy maelekezo ya hapo nyumban kabla hajasafiri. Mara ben anaingia na ofentse akimuambia nikiwe kuwa ofentse anahitaji kuongea nae kuhusu kuiongoza kampun wakati nikiwe hayupo,nikiwe anamuona ofentse mpenda hela,ofentse anajitetea,nikiwe anaonekana kukubaliana nae
Hostel,jamaa wanakimbizana kuchukua chupa zao na mazaga zaga wakiambiana jamaa anakuja,matlala anatoka mbio rum kwake akiwa na mwanamke na kumficha sehemu,hendrik anamuwahi na kumtaka amuoneshe alichoficha,hendrik kumuona mwanamke anamsalimia na kumtaka aondoke,kisha anamuonya matlala na kumtaka afate sheria za humo la sivyo atamsemelea kwa uongozi afukuzwe humo hostel
Penthouse,nikiwe yupo tayar kwa safari,wanaagana na kuongea na kgotha huku kgorha akimtaka akapumzishe akili maana yeye kgotha ataisimamia the rec kisha anajikuta anataja jina la gabr,nikiwe anakosa raha,kgotha anamtaka nikiwe asain karatas zinazompa kgotha nguvu ya kuiongoza the rec
Nkadi yupo na kamo sebulen na kumuuliza tatizo nini,kamo analalamikia unene na kadhalika ila nkadi anamtaka amueleze tatizo la ukweli,kamo analalamika obakeng hampend na hajamaanisha kile akisemacho anataman obakeng ampende kama yeye anavyompenda.kamo anataman ndoa ya upendo sio ya kulazimisha
Wendy na morogwa wapo the rec wakipiga story za hapa na pale
Mgodin matlala anamkuta gatanga sebulen akila huku jamaa wengine wakiwa wanakunywa pombe,matlala anamtaka gatanga aondoe madawa yake na vitu vinayomuuma chumban kwake,gatanga anasema hajacanya kitu,matlala anasema uongo,gatanga anamuonesha ndoo na kumuambia humo kaweka majan ya chai na maji,matlala anaangalia. Gatanga anasema yeye ni tabibu anatibu watu sio mchawi anayeloga watu. Matlala anauliza nini kinachomng'ata chumban,gatanga anasema labda kunguni hivyo afue mashuka na kujiweka safi.matlala anakosa cha kuongea,gatanga anainuka na kuifata ndoo yake huku akimwambia matlala alifikiri ni mjanja kuitambua chai kumbe sio,gatanga anaondoka,jamaa wanabaki wakimcheka matlala
Akiwa ofisin shebeen papa g anamtaka charlie akawape onyo dereva teksi,baada ya charlie kuondoka,papa g anamuuliza obakeng nini tatizo obakeng anasema anataka kufanya biashara ya familia,papa g anamwambia nina kamfungulia biashara obakeng anaikataa,nina alikua mlangon akiwasikiliza anaingia wanaishia kubishana
Mgodin hendrik anajisifu kwa gatanga jins hostel walivyokimbizana sababu ya ujio wake,gatanga anamwambia wale jamaa wanaigiza wala hawamuogopi,hendrk anamtaka amwambie zaidi gatanga anakataa kuwa mnafiki,ila hendrik anampa ofa ya kuwa mpelelezi wake huku akimuahidi pesa
Gabr anampigia simu papa g na kumtaka amkopeshe kiasi cha pesa,papa g anakataa na kumlaum gabr kwa kumpiga nikiwe na kumwambia polisi wanamtafuta na watataka kujua nani alimsaidia,papa g anamtaka gabr asimpigie simu tena kisha anakata,mwanamke anayemdai gabr anambia gabr kuwa hana marafiki,gabr anamtaka awe mvumilivu anawaza mpango mwingine
Nina anaenda ofisin kwa eddie na kumuomba amuambie mbinu za kumpeleka mtu jela bila mtu huyo kufahamu kachomewa,eddie anamdhihaki nina,nina anasema ni mtu mzito,eddie anauliza ni nani,nina anajibu ni baba ake
I thought the same thing, nikashtuka very latecc Numbisa nikadhani ni wkend sijaifuatilia ya leo, lazima nicheki kabla sijaangusha!!
Huyu sijawahi kumwona.Nimeanza kuangalia/kufuatilia isidingo last year .....
Jeferson Sibeko.....sibling wa Lincoln Sibeko....Huyu sijawahi kumwona.Nimeanza kuangalia/kufuatilia isidingo last year .....
This is bad to hear ... anyway, thanks for informing!!Jeferson Sibeko.....sibling wa Lincoln Sibeko....
Died in a 'plane crash' some years back(2 or 3)....huwezi kumjua...
....'alikufa' kwenye Isidingo not in real life....This is bad to hear ... anyway, thanks for informing!!
....'alikufa' kwenye Isidingo not in real life....
Yupo kwenye series nyingine kwenye Mzanzi channels I think....pia anaigiza movies...
walisema mabaki ya mwili hayakuonekana so huenda atakuja kuonekana baadae akiwa freeJeferson Sibeko.....sibling wa Lincoln Sibeko....
Died in a 'plane crash' some years back(2 or 3)....huwezi kumjua...