Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Friday

Wendy anamshauri nikiwe atoke nje akapunge upepo ila nikiwe anasema ana mpango wa kwenda kazin maana ana majukumu mengi

Gatanga anaenda the rec anamkuta matlala hapo,matlala anamuuliza kama keshapata watu waliomchomea kitabu gatanga anajibu yupo karibu kuwapata huku akitoa vitisho,matlala anajikuna,gatanga anamuulizia morogwa,matlala anajibu morogwa kapata ajira the rec na kwamba kapumzika na ajira ya shebeen

Lerato akiwa kwake pamoja na nina na nkadi wakijadili maandalizi ya baby shower ya kamo,nina anasema kakodi ukumbi the rec,nkadi anakereka wanaanza bishana wee mara lerato anasema akina bibi wanagombana,nina anajitapa atakua bibi wa kisasa,mwishowe nina anaongelea mwaliko wa rejesh the rec kusherehekea miaka 19 ya mafanikio

Morogwa akiwa katoka kuoga kavaa taulo anaingia geto kwake na kusahaj kufunva mlango mara gatanga anaingia na poti la.msosi akimwambia kamletea chakula kama hongera. Morogwa anamtaka aondoke,gatanga anaanza maongezi morogwa anamfukuza pamoja na chakula chake

Kamo yupo sebulen akiwa na huzun,nkadi anamfata na kumwambia obakeng anamtafuta ila kamo anasema mpaka obakeng akue,nkadi anampa ushaur,kamo anataka obakeng amwambie kama anampenda na kumhitaji

Morogwa anaenda mgodin na kumwambia matlala kuwa anaacha kazi hapo mgodin maana kapata ajira ya kudumu the rec. Matlala anamwambia akumbukee gabr anaweza kurudi na kumfukuza. Morogwa haamin kama gabr atarud,matlala anamuonya afikirie kwa umakin maana akiacha kazi hapo hataweza kurudishwa tena

Kikao cha bodi,barker anajaribu kujipa cheo cha kaimu kiongozi ila ofentse anampinga na kumwambia ana skendo ambazo hazina mwelekeo mzuri huku akijipigia yeye promo. Ben anasema wapige kura kumaliza ubishi,kura zinapigwa,ofentse anashinda kwa kura nyingi

Obakeng anaenda home kwa swchaba,nkadi anamfungulka mlango na kuanza kumshushua,kamo anatokea na kumtaka mama ake awapishe ana maongez na obakeng,nkad anaondoka,obakeng anamwambia kamo waonane baadae home kwa papa G

Gatanga anaenda the rec na kumkuta morogwa kaunta,morogwa kumuona gatanga anajificha ila gatanga anamwambia keshamuona na kumuomba waongee,morogwa anaondoka kaunta gatanga anamfata na kuanza kumwambia jins anavyompenda,morogwa havumilii na kuondoka ghafla

Nikiwe kalala kwenye kochi,ben anatokea nyuma ya kochi,nikkwe anashtuka na kubonyeza swich ya kuita walinzi,nikkwe kumuona ben anamuuliza kaingiaje hapo,ben anasema kaingia kwa ruhusa aliyompa mwenyewe(nikiwe)walinz wanaingia na kuambiwa hakuna tatizo,walinz wanaondoka. Nikiwe anamwambia ben hajafurahishwa kwa ofentse kukaimu nafasi yake ila ben anamtetea

Ben anajitetea kwa kuachia ofenfse apate uongoz wa muda SG,kgotha anatokea ben anagoa wazo la nikiwe kwenda mapumzikon kgotha anaunga mkono wazo hilo,nikiwe hakubalian nao,kgotha anaaga na kusema anahitajika the rec,nikiwe anamgaka ben nae aondoke,ben anagoma kuondoks,nikiwe anamuuliza kama anatka coffee

The rec morogwa anapokea tip kwa mteja,kgotha anakuja na kumtaka afanye kazi vizuri ili kuwafurahisha zaidi wateja.morogwa anajuliza maana ya 19,na kusema maandalizi yamekamilika huku akitaka kujua kama atapata mkataba wa kudumu. Kgotha anamwambia bado yupo kwenye majaribio

Nikiwe anabook tiketi ya ndege kwenda mapumzikon new york,ben anampongeza kwa uamuzi huo,nikiwe anaaga kwenda kulala,ben anapokea simu na kuongea na mpigaji

Home kwa papa g,obakeng anampigia kamo magoti na kumtaka wafunge ndoa,kamo anabaki hana jibu

The rec,watu akina matlala,sibiya,gatanga,sechaba,nina,ofentse,kgotha,ben na wengineo,wamekusanyika na kuulizana kulikon wameitwa hapo. Rajesh akiwa na furaha anawataka wamsikilize huku akiwashukuru kwa kuitikia mwaliko na kuwataka wahesabu mpaka tano,watu wanahesabu rajwsh anafungua ngao imeandikwa 19. Watu wanafurahia wakigonga cheers wakisema Happy birthday Isidingo
 
Huyu mganga wa kienyeji Gatanga ameanguka kwa Morongwa lakini yeye alikuwa anamcheka yule mwenzake (nimemsahau jina) alipokuwa anagawa mabunda ya fedha kwa ‘Rongwas’
 
Linc ni miongoni mwa waigizaji Wa Isidingo nilikuwa nampenda hasa misimamo yake na mikwara take ya kibabe sijuj kama atarudi tena au ndio mwisho wake?
Kwenye you tube series huko jela amekuwa kama mafia king.... Huduma zake First Class na kwa sasa anaendesha kampuni yake from prison... I like the guy.
 
Monday

Wakiwa sebulen kwa papa g obakeng anampropose kamo,katikati ya maongez kamo anagundua obakeng hana nia ya dhati ya kumuoa ila anajirazimisha sababu ya ujauzito alionao kamo. Kamo anakataa proposal ya obakeng,obakeng anashangaa

Gatanga anaenda ofisin mgodin na kumkuta matlala,gatanga anamlalamikia matlala kwa kumtesa morogwa hasa kwa kumtaka achague moja kati ya the rec na mgodin,matlala anamuuliza gatanga kama morogwa kamtuma,gatanga anakataa na kumtaka matlala awe na moyo wa huruma. Matlala anamwambia gatanga kuhusu sheria za hapo na kwamba morogwa anatakiwa achague sehemu moja ya kazi

Kamo anaurud kwao analia,mama ake anamuuliza,kamo anamwambia obakeng kamtamkia kutaka ndoa,nkadi anafurahi,kamo anamwambia kakataa ombi la obakeng kisha anaenda chumban,nkad anampigia simu nina na kumwambia kuna tatizo wanatakiwa kusuluhisha.

Hostel jamaa wapo mezan wakicheza karata,matlala anamtaka sibiya wakaongee pemben,wakiwa wamekaa peke yao matlala anamwambia sibiya kuhusu gatanga kulalamika kwa niaba ya morogwa,gatanga anashangaa na kusema gatanga anampenda morogwa,matlala aanabisha na kusema gatanga sio saiz ya morogwa,wakiwa wanaongea mara wanasikia jamaa wanaocheza karata wakilalamika,kumbe gatanga katoka chumban na ndoo akimwaga mwaga vitu vya maji maji sehemu zote hapo sebulen,sibiya anamtaka gatanga aache kuwatisha na uchawi wake na kumwambia kilikua kakijitabu ka kipuuzi tu,gatanga anawaangalia,matlala anamwambia yeye ndie aliyekichoma kitabu na kumtaka aache kuwatisha wenzie na akatoe vitu vinavyomuuma rum kwake. Gatanga anatabasamu na kuondoka

Penthouse,nikiwe anamuachia Wendy maelekezo ya hapo nyumban kabla hajasafiri. Mara ben anaingia na ofentse akimuambia nikiwe kuwa ofentse anahitaji kuongea nae kuhusu kuiongoza kampun wakati nikiwe hayupo,nikiwe anamuona ofentse mpenda hela,ofentse anajitetea,nikiwe anaonekana kukubaliana nae

Hostel,jamaa wanakimbizana kuchukua chupa zao na mazaga zaga wakiambiana jamaa anakuja,matlala anatoka mbio rum kwake akiwa na mwanamke na kumficha sehemu,hendrik anamuwahi na kumtaka amuoneshe alichoficha,hendrik kumuona mwanamke anamsalimia na kumtaka aondoke,kisha anamuonya matlala na kumtaka afate sheria za humo la sivyo atamsemelea kwa uongozi afukuzwe humo hostel

Penthouse,nikiwe yupo tayar kwa safari,wanaagana na kuongea na kgotha huku kgorha akimtaka akapumzishe akili maana yeye kgotha ataisimamia the rec kisha anajikuta anataja jina la gabr,nikiwe anakosa raha,kgotha anamtaka nikiwe asain karatas zinazompa kgotha nguvu ya kuiongoza the rec

Nkadi yupo na kamo sebulen na kumuuliza tatizo nini,kamo analalamikia unene na kadhalika ila nkadi anamtaka amueleze tatizo la ukweli,kamo analalamika obakeng hampend na hajamaanisha kile akisemacho anataman obakeng ampende kama yeye anavyompenda.kamo anataman ndoa ya upendo sio ya kulazimisha

Wendy na morogwa wapo the rec wakipiga story za hapa na pale

Mgodin matlala anamkuta gatanga sebulen akila huku jamaa wengine wakiwa wanakunywa pombe,matlala anamtaka gatanga aondoe madawa yake na vitu vinayomuuma chumban kwake,gatanga anasema hajacanya kitu,matlala anasema uongo,gatanga anamuonesha ndoo na kumuambia humo kaweka majan ya chai na maji,matlala anaangalia. Gatanga anasema yeye ni tabibu anatibu watu sio mchawi anayeloga watu. Matlala anauliza nini kinachomng'ata chumban,gatanga anasema labda kunguni hivyo afue mashuka na kujiweka safi.matlala anakosa cha kuongea,gatanga anainuka na kuifata ndoo yake huku akimwambia matlala alifikiri ni mjanja kuitambua chai kumbe sio,gatanga anaondoka,jamaa wanabaki wakimcheka matlala

Akiwa ofisin shebeen papa g anamtaka charlie akawape onyo dereva teksi,baada ya charlie kuondoka,papa g anamuuliza obakeng nini tatizo obakeng anasema anataka kufanya biashara ya familia,papa g anamwambia nina kamfungulia biashara obakeng anaikataa,nina alikua mlangon akiwasikiliza anaingia wanaishia kubishana

Mgodin hendrik anajisifu kwa gatanga jins hostel walivyokimbizana sababu ya ujio wake,gatanga anamwambia wale jamaa wanaigiza wala hawamuogopi,hendrk anamtaka amwambie zaidi gatanga anakataa kuwa mnafiki,ila hendrik anampa ofa ya kuwa mpelelezi wake huku akimuahidi pesa

Gabr anampigia simu papa g na kumtaka amkopeshe kiasi cha pesa,papa g anakataa na kumlaum gabr kwa kumpiga nikiwe na kumwambia polisi wanamtafuta na watataka kujua nani alimsaidia,papa g anamtaka gabr asimpigie simu tena kisha anakata,mwanamke anayemdai gabr anamwambia gabr kuwa hana marafiki,gabr anamtaka awe mvumilivu anawaza mpango mwingine

Nina anaenda ofisin kwa eddie na kumuomba amuambie mbinu za kumpeleka mtu jela bila mtu huyo kufahamu kachomewa,eddie anamdhihaki nina,nina anasema ni mtu mzito,eddie anauliza ni nani,nina anajibu ni baba ake
 
Gabr anampigia simu papa g na kumtaka amkopeshe kiasi cha pesa,papa g anakataa na kumlaum gabr kwa kumpiga nikiwe na kumwambia polisi wanamtafuta na watataka kujua nani alimsaidia,papa g anamtaka gabr asimpigie simu tena kisha anakata,mwanamke anayemdai gabr anambia gabr kuwa hana marafiki,gabr anamtaka awe mvumilivu anawaza mpango mwingine

Nina anaenda ofisin kwa eddie na kumuomba amuambie mbinu za kumpeleka mtu jela bila mtu huyo kufahamu kachomewa,eddie anamdhihaki nina,nina anasema ni mtu mzito,eddie anauliza ni nani,nina anajibu ni baba ake
Good job
 
cc Numbisa nikadhani ni wkend sijaifuatilia ya leo, lazima nicheki kabla sijaangusha!!
I thought the same thing, nikashtuka very late

BTW who misses Jefferson
20180401_155146.jpg
 
Attachments

  • images-2.jpg
    images-2.jpg
    10.3 KB · Views: 48
Back
Top Bottom