Yaani! Mi nimetamani wamkamate hata leo pumbafu yule anampigaje mwanamke vile halafu kamkaribisha kwake! Nimemchukia sana yaani! Na anamwita Nikiwe slut!Dah Gabriel anakiona kifo chake kileee mpaka chozi limemdondoka leo
Yaani! Mi nimetamani wamkamate hata leo pumbafu yule anampigaje mwanamke vile halafu kamkaribisha kwake! Nimemchukia sana yaani! Na anamwita Nikiwe slut!Dah Gabriel anakiona kifo chake kileee mpaka chozi limemdondoka leo
Benjy ana roho nzur kama mimi. Gabby lazima aogopeDah Gabriel anakiona kifo chake kileee mpaka chozi limemdondoka leo
Kwa kweli mwanaume mpigaji hafai kwenye jamiiYaani! Mi nimetamani wamkamate hata leo pumbafu yule anampigaje mwanamke vile halafu kamkaribisha kwake! Nimemchukia sana yaani! Na anamwita Nikiwe slut!
Dreka..forodhani ipi unakaa wewe?I am a 30 years old single guy, hard working and self motivated. Staying in Forodhan, Zanzibar. I have no wife, no child and I have a pet dog. I have a good working business, I'm HIV negative.
Am seriously looking for a beautiful, black and charming African lady to watch isidingo with.
Akiondoka show itapoa sana,yule jamaa anajua kuchangamsha isidingo. Nisipomuona kwenye show naboreka sana. By the way anajua kuvaa uhusika.Yaani! Mi nimetamani wamkamate hata leo pumbafu yule anampigaje mwanamke vile halafu kamkaribisha kwake! Nimemchukia sana yaani! Na anamwita Nikiwe slut!
Hivi usoni huwa wanapaka vitu gani ili kuonekana kama mtu aliyeumia ?nikiwe kazeeka jaman sio kwa uso ule
Kazeeka ghafla gaby alishaanza kubadilika lakini sema nikiwe alikuwa anamdharau
i wish linc angekuwepo mana alimkanya xanaaaDah! Nikiwe kachezea kichapo hasa, simuonei huruma sababu alijitakia haya, watu wengi walimkanya kuhusu gaby kwamba sio mtu mzuri kwake hakusikia, sasa yamemkuta.
Kipondo alichopata sio habanikiwe kazeeka jaman sio kwa uso ule
Linc ni miongoni mwa waigizaji Wa Isidingo nilikuwa nampenda hasa misimamo yake na mikwara take ya kibabe sijuj kama atarudi tena au ndio mwisho wake?i wish linc angekuwepo mana alimkanya xanaaa
Walipozini kanisani? Hii laana inamwandama Gabr, halafu hulka ya kupiga anayo alishampiga Aphiwekiboko ya Gaby alikuwa Nina tu
sema walipendezea walipokuwa wanadate