stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,887
- 4,467
Duh umbo lake nimelikubali kama ana miaka20??
hahaa, lol!, basi we mdogo sana kama ndo hivyoKusema kweli ka aphiwe nilikuwa nakatamani, nilipofuatilia details zake nkakuta kanipiga gap miaka kadhaa mbele, ikabd nkubali kumpa shikamoo yake.
bado hajatimiza lakini mpaka march
Kanipita miezi kadhaa mkuuhahaa, lol!, basi we mdogo sana kama ndo hivyo
Wewe umempita mingapi mkuuhahaa, lol!, basi we mdogo sana kama ndo hivyo
Kanipita miezi kadhaa mkuu[/Qme na yeye tumepishana siku, actually amenipita siku 10
amenipita siku 10Wewe umempita mingapi mkuu
point of correction, siku 17 sio 10amenipita siku 10
Shikamoopoint of correction, siku 17 sio 10
Uko sahihi kbsHAYA MATANGAZO NAY YANAONDOA UTAMU EMBU WAYAPITISHE JUU
Pastor mpiga dili yuleDuh Sizwe yupo hatarini Pastor kamkimbia
Huyo jamaa ni bongo la tp, nilimstukia kitambo tangu akiwa pasta.Hahaha Gabriel ana swaga flani hivi ya kitapeli sema smart afu hakati tamaa
marahaba dogoShikamoo
Kwema huko uliko ?marahaba dogo
Kura yangu inaenda kwa Aphiwe. yule dada ananivutia sio siri.Afiwe na Kamogelo nani mrembo zaidi?
Mimi Kamo ananikosha na usumbufu wake hule!Kura yangu inaenda kwa Aphiwe. yule dada ananivutia sio siri.