Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Gabriel kafukuzwa kutoka The Duncan,kahifadhiwa na Nina kwa makubaliano kuwa amwachie Nina ili biashara ya insurance. Wale waliokuwa wanamdai walipomshambulia Nina akamuokoa. Zukisa kamwambia wazi Sizwe kuwa HD ndo nyumbani kwake hivyo haondoki kurudi PE. Calvin pia kakubali kumsaidia Tyson kumtafuta Kat. Na tayari keshataja Shaft 8 ambako Kat alitupwa. Ni suala la muda tu mambo kuwa hadharani na Linc kuumbuka. Hata hivyo Zukisa kagoma kuondoka kwa shinikizo la boss wake. Ni hayo nakumbuka kwa uchache,mwingine anaweza kuongezea.
 
Thanx sana
 
Leo ndio nimeangalia marudio after a long time..Nimecheka sana katika sehem nyingi Doctor Jean-Marc kaenda wapi what happened..
 
Gabriel kafukuzwa kutoka The Duncan,kahifadhiwa na Nina kwa makubaliano kuwa amwachie Nina ili biashara ya insurance. Wale waliokuwa wanamdai walipomshambulia Nina akamuokoa. Zukisa kamwambia wazi Sizwe kuwa HD ndo nyumbani kwake hivyo haondoki kurudi PE. Calvin pia kakubali kumsaidia Tyson kumtafuta Kat. Na tayari keshataja Shaft 8 ambako Kat alitupwa. Ni suala la muda tu mambo kuwa hadharani na Linc kuumbuka. Hata hivyo Zukisa kagoma kuondoka kwa shinikizo la boss wake. Ni hayo nakumbuka kwa uchache,mwingine anaweza kuongezea.
Alafu pastor tapeli sana uso mkavuuu ha ha ha mi huwa ananifuraisha akisha mess up anaanza kujizoa zoa kama dude wa bongo movie
 
Back
Top Bottom