Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Napenda jinsi Lincoln anavyomzungusha Tyson kuhusu kupotea kwa dadake. Zukisa naye anampenda tajiri,Mr Lincoln, ila naona kama pedeshee anampotezea. Pona ya Sizwe itakuwa Zukisa,kumshawishi Lincoln kulipa hela za wana Apollo.
 
Mimi Kamo ananikosha na usumbufu wake hule!
8a32ce01a62bfb96d6c511c6acdad28d.jpg
 
kweli aphiwe looks younger aisee, mana kamo ni mdogo sana kwa aphiwe lakini ukiwa compare utadhani kamo mkubwa. ila aliyefunika ni lerato, yule dada hazeeki leo wala kesho, mana si kwa baby face ile, miaka yake na alivyo ni vitu 10 tofauti lool!
 
Naomba unijulishe yaliyojiri... Kuna situation ninayo sipati wasaa wa kuangalia Isidingo
Wakina Zondile safari ya PE Inanukia, Barker na Rajesh wana-compete kwa Brad Haines, Pastor Gabriel anabanwa arudishe pesa za upatu hatimaye wanaupatu kwa Hasira wanachoma gari lake.Sizwe alirudishwa tena hospitali baada ya kuzimia nyumbani kwake, Sibeko na shemeji yake mambo yamepamba moto, siku si nyingi atagundua ukweli juu ya dada yake kwani Calvin amefungua Pandora box kwa kumrengesha Sibeko kwa Shemeji yake.
 
Thanx angalau sitakuwa nyuma
 
Back
Top Bottom