Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ila uyo Ndugu yake moloi kaja Kwa kasi sana
Yani kuingia tu kwenda kwenye pati macho juu ka kinyonga
Halaf kule resta alivyokutana na kotalo tayari mpaka kiss
Mi mwanaume kama huyo hata sishoboki
Kule Kwa hedr kama familia yake itaenda Kenya sioni usalama pale kabisa uku nyuma wanaobaki mm
 
Kwanini sasa unasema hushoboki kwa mwanaume kama yule?
 
Ila uyo Ndugu yake moloi kaja Kwa kasi sana
Yani kuingia tu kwenda kwenye pati macho juu ka kinyonga
Halaf kule resta alivyokutana na kotalo tayari mpaka kiss
Mi mwanaume kama huyo hata sishoboki
Kule Kwa hedr kama familia yake itaenda Kenya sioni usalama pale kabisa uku nyuma wanaobaki mm
Kwakweli Lefa kaja na papara sana. Si angesoma situation kwanza? Hili la kumparamia Kghotalo,sijui. Ngoja tuone.
 
Ila uyo Ndugu yake moloi kaja Kwa kasi sana
Yani kuingia tu kwenda kwenye pati macho juu ka kinyonga
Halaf kule resta alivyokutana na kotalo tayari mpaka kiss
Mi mwanaume kama huyo hata sishoboki
Kule Kwa hedr kama familia yake itaenda Kenya sioni usalama pale kabisa uku nyuma wanaobaki mm
Yan Wendy anamuwinda shemeji yake kwa hali na mali
 
Hivi Wendy ni kweli ana mtu huko online dating au ni anawaseti watu kuaina
Playboy anatisha khaa
 
Dah Leo nimeikosa
Secheba amsamehe Lungi amwambya bado anamuhitaji at Bokamoso
Zandre, Anjya na mama yao wameondoka kuelekea kenya
Charlie amekubali kurudi kazini shebeen
Sibiya anatumia hela zake vibaya shebeen washkaji zake wanamshauri, ila kama unavomjua sibiya (he's crazy old man)
Lefa na Kgothalo wapo on fire, anampa makavu Enhle kuwa alchokuwa anataka kwake ni sex tu, baadaye Lefa anaonekana penthouse akiwa na Kgothalo (baada ya kulala nae)
Lungi ameita waandishi ili kumsafisha Mayor lkn anaingia Gabby Mothusi anaharibu mambo.
Gatanga anamshauri Morongwa amombe msamaha Secheba.
Hendrik bado anamsisitiza wendy awemakini na online dating, wendy anamwambya sku zote anapojaribu kuchukua hatua yeye (Hendrik) ni mtu wa kumkatisha tamaa
Wakiwa rec Lungi anamweleza Secheba kilichotokea anatokea Gabby anaanza kumchokoza Secheba, Secheba anakasirika anampiga ngumi ya uso baada ya kumsema kuhusu Lerato, Gabby anachka kwani amefanikisha lengo lake mbele ya public.
 
Wachaaaa ee santeee
 
Back
Top Bottom