Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Secheba amsamehe Lungi amwambya bado anamuhitaji at Bokamoso
Zandre, Anjya na mama yao wameondoka kuelekea kenya
Charlie amekubali kurudi kazini shebeen
Sibiya anatumia hela zake vibaya shebeen washkaji zake wanamshauri, ila kama unavomjua sibiya (he's crazy old man)
Lefa na Kgothalo wapo on fire, anampa makavu Enhle kuwa alchokuwa anataka kwake ni sex tu, baadaye Lefa anaonekana penthouse akiwa na Kgothalo (baada ya kulala nae)
Lungi ameita waandishi ili kumsafisha Mayor lkn anaingia Gabby Mothusi anaharibu mambo.
Gatanga anamshauri Morongwa amombe msamaha Secheba.
Hendrik bado anamsisitiza wendy awemakini na online dating, wendy anamwambya sku zote anapojaribu kuchukua hatua yeye (Hendrik) ni mtu wa kumkatisha tamaa
Wakiwa rec Lungi anamweleza Secheba kilichotokea anatokea Gabby anaanza kumchokoza Secheba, Secheba anakasirika anampiga ngumi ya uso baada ya kumsema kuhusu Lerato, Gabby anachka kwani amefanikisha lengo lake mbele ya public.
Leo imeendaje
 
Wakati wetu tunafatilia msimuliaji mkuu alikuwa Numbisa siku moja nikamletea zengwe hajanipenda tena ila baada ya Skhu Nikiwe na Kina khamo na Baker kuondoka nami nikapumzika kidogo
Ntando alibore sana wakati anaanza labda sasa hivi itakuwa kawa poa uigizaji wake ulikuwa unavunja moyo
Ukitaka uifaidi Isidingo fatilia youtube
 
ntando sasa hivi amekuwa genius Kama mzee wake.
 
Brief Update this monday
Gabby anaendelea kumsihi secheba akatae zile scandal, secheba anasita

Sibiya anaenda kwa shift boss ili anamwomba msaada ili aombewe advance salary SG, anakubaliwa

Gabby na sechaba. Gabby anamshauri sech aende kuongea na media, sech anamuuliza kwanini ghafla jamaa amekuwa akimjali, Mothusi anamwambya kuwa "if you go down you are taking me too" kwahyo atakuwa upande wake siku zote.

Lincoln anampa zawadi Koth anampongeza kwa kumtunzia nyumba, koth kama ana was was flani hivi.

Gatanga anamshawishi Makgoromesa wamsaidie mzee mzima Sibiya, Mak anakataa.

Rec. Lalage akiwa na furaha anaenda kwa dadake, dada mtu Wendy hayupo comfortable anamkwepakwepa..

Gabby anamweleza sech.. Kuwa yule binti anaitwa Christy anampa data zote, sech anastuka anamuuliza hizo data zote kapata wapi? Anajibiwa kuwa alifanya uchunguzi.

Phindi anakuja Hostel, anarudi na majibu kuwa amekataliwa ombi la Sibiya.

Lefa boy na Koth wapo kwa mayor wanazungumza, wanapotoka wanakutana na Gabriel mlangoni, Gabby anamuuliza mayor kama yupo tayari kwa mkutano na media.

Leo Ntando anamwalika Koth, anajaribu kutupia saundi, koth anamjibu hayupo tayari kuwa na mahusiano tena.

Lalage anamshawishi mme wake waende kitandani coz amemmiss jamaa anasingizia gereji anasepa, mke anachoka anashangaaa.

Lefa na koth wakiwa kuelekea kufanya Mapenzi, Ntando anawaona anamwita then anamuliza "is this why you don't have time with me all day" Koth anamjibu "i don't owe you anything" kisha anampa mkono Lefa boy anamwabiya "can we?" lefa amkamatia mwanamama as they climb stairs and leave Ntando down there asiwe na lakufanya......

Catch up to you Guys.. Until next time..
As sechaba he is on press conference denying accusations while Mr. Mothusi he's watching kwa jamaa anavoingia mkenge

Nkipata time ntakuwa nna share
 
Santee Son.j
Uwe na siku njema
 
Gabriel ana roho mbaya kupindukia ndiyo maana hafanikiwi maisha yake mission town afu zinabuma zote mhhh picha zikiachiwa sijui katglo ataficha wapi uso jinsi Linc Sibeko anamuheshimu wataachia video zao penth house iligeuka kadanguro kwa muda
 
Ndo maana koth alikuwa na wasiwasi sana alipokutana na mzee
 
Back
Top Bottom