Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Barker atampoteza sijui ofense moloi kama yule dokta aliyetakaga kumtoa moyo ha ha ha a ha nakumbuka alimuua alafu maiti yake akaichoma moto hadi polisi walishindwa kuitambua
Duh....wee mhenga....hiyo ni old episode, 3 or 4 years hivi ago.....

Jamaa alimteka Barker akamfungia the Duncan amtoe Moyo ambao Barker aliupata through illegal means ukawa transplanted kwake, ulikuwa ni moyo wa ndugu wa yule Dr ambaye alikufa kwa ajali.....nakumbuka yule doctor aliwahi kuwa boyfriend wa Dr Beth McNamara........kitambo
 
***** Morongwa AmeLike Comment Yangu Ktk Post Yake Instagram. Mniombee Jamani Nataka Kuwakilisha Taifa Kama Diamond.
Follow Her At Twitter soso Rungqu.
I Love This Sturdy Thuggish Bitch,Damn. Mwanzo Nlizimika Na Khabonina Khabodacious Khabosexy (Nina Zamdela) Ila Morongwa Kampiku. Na Ile Sauti Ilivokua Ya Kukwaruza.
We jamaa si wa nchi hii
 
Tuesday

Sorry for late updates netwrk tatizo

Gabriel anampelekea maua nikiwe na kumwambia hayo ni mazuri kuliko aliyoletewa jana.gabr ana wasi wasi mletaj anaweza kuwa ni skhu.nikiwe anamwambia hayupo tayar kudeal na maswala ya wivu

Brad anamweleza jody jins bill itakavyokua kubwa na kumtaka aweke limits ya vinywaji ila jody anakataa na kusema rafik zake hawatamuelewa na kutaka bill ilipwe na barker ila brad anamwambia haiwezekan ila atumie pesa zake za mwisho wa mwez,jody hakubalian na wazo hilo

Rajesh akiwa duncan bar anampigia simu kgotha na kumtaka amtaarifu barker kuhusu biashata yao maana tyson keshalalamika kwa barker. Wanabishana kuhusu kumwambia ukweli tyson juu ya mahusiano yao ya zaman.kgotha anamwambia rajesh aandae kikao na barker jion

Papa g anaenda home kwa lerato na kumkuta nkadi(mama lerato)papa g anaanza kutoa sifa zake pale,kamo anawakuta na hapendezwi na hali hio,papa g anaamua kuondoka ila anatoa wazo la kamo akatibiwe kwa mganga wa zamdela family,kamo anagoma

Baada ya papa g kuondoka kamo anagombezana na mama yake kuwa anataka kumwacha baba yake kisa papa g.kamo anasema lerato kamwambia mengi,lerato anatokea na kumwambia mama yao awe muwazi ila mama mtu anakasirika
Jody anamwalika kamo kwenye party yake ila kamo anakataa

Morogwa akiwa na shost zake anaenda the rec na kumkuta skhu kaunta,wanaongea fresh tu kiasi cha kumshangaza matlala,morogwa anaagiza misosi ya nguvu,skhu anasema atalipa yeye,matlala anashangaa na kusema anataman aumwe tb ili nae aonewe huruma

Jody anamfata barker na kumwomba pesa,ila barker anakataa na kumtaka jody afanye kazi ili alipwe,jody anakereka maana party ni kesho yake

Matlala na kund lake wanampelekea mawe ya dhahabu gabriel na kumtaka amwiye papa g wamkabidhi ila gabriel anasema wao kazi yao kuchimba na malipo watapata hivyo papa g atampelekea mwenyewe

Lerato na kamo wakiongea,lerato anamsunta kamo kwa kutotunza siri na kwamba asingemwambia mama yao maneno aliyoaambiwa na lerato. Kamo anataka kujua kinachotokea kwa wazaz wake.lerato anamwambia kuwa nkadi anamiss romance na kwamba mumewe yupo busy,kamo anachukia kuambiwa yote hayo

Gabriek akiwa geto kwake yupo na mzungh wakifanya biashara ya magendo ya dhahabu,mzungu akitaka kuondoka anakutana na morogwa,morogwa anamuuloza gab anabiashara gan na mzungu,gab anasema ni rafiki yake tu na kumuuliza morogwa kilichomleta hapo,morogwa anasema katumwa vifaa na matlala,morogwa anamwita gab kichwa kikubwa

Tyson anaenda kwa angie,angie anataman uhusiano wao ufe huku akifaman pia waendeleze mahusiano

Skhu anamwambia sechaba kuwa anamwonea huruma linc,sechaba anamtaka skhu akamjulie hali linc huku akimtania kuhusu nikiwe

Kgotha anaenda ofisin kwa barker na kumwambia kuwa anataka kufanya kazi na rajesh na kwamba kesho yake bodi ya nziga wanasafiri kwenda russia kwenye kikao na kumtaka barker atume mwakilishi. Barker anajaribu kumtisha kgotha kwa vifungh vya sheria ila bidada anawaambia kama hawatak wajitoe
 
ile tamthilia ingekuwa na waihizaji kama Calvin wa4 hivi, nadhani watu wasingekuwa wanaiangalia....,japo ni kuigiza ila kama real vile, Calvin anaboa mishe zake mle
 
Jana dstv walizingua sana sikuona isidingo nashukuru nimeisoma hapa numbisa
 
Back
Top Bottom