Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Nina anamwalika aphiwe home ili kumbembeleza amsamehe obakeng ila aphiwe anakataa kumsamehe obakeng na kumlaumu nina kwa jambo hilo

Calvin anampa shart angie ajitoe kwenye kes ya linc kama kwel anajalo urafiki wao

Matlala analeta wachimbaj geto kwa gaby na kuelewana na gaby kuhusu kazi kisha matlala anawapa nafasi ya mwisho jamaa wajiandae kwa madhara yoyte yatakayotokea mgodin na kwamba asiyetaka ajitoe mapema.jamaa wote wanakubali kazi

Sechaba na calvin wakiwa the rec,sechaba anamwonyesha calvin raman ya nyumba ya thulile,calvin anamwambia sechaba kuwa eddie kakubali kutoa ruhusa kwa wafungwa wa nje kusaidia kisha akasema na kikundi cha aphiwe pia akiongea na aphiwe watasaidia ila sechaba akamwambia aphiwe hayupo vizuri kwa muda huo na kwamba hawez mwambia nn kimetokea bali ataambiwa tu na mhusika

Barker anaenda na jody kwa zamdela house na kuwapa zawadi huku akiwaalika duncan kwa vinywaji,georgie anakubali, baada ya barker kuondoka papa g anamwambia nina si bure barker atakua na shida nao

Obakeng anaenda the rec kutaka kuonana na aphiwe ila skhu anamtimua

Obakeng anaenda kunywa shebeen,mara calvin anatokea na kwenda kuagiza bia na kukaa sehemu nyingine,obakeng anamfata ila calvin anamwanbia anafahamu kuhusu aphiwe hivyo hatak hayo maongezi,obakeng anamwambia haongelei hayo bali ana dili zuri linalomfaa calvin na kumpa muda wa kufikiria.

Tyson anamwita skhu room kwake duncan ili kumpeleleza vizuri apate plan B kama barker atamsalit. Skhu bado hamwamin barker na tyson pia

Lerato na mama ake wanaenda kwa papa g home ila nina anawaambia yupo busy haan muda wa kuongea nao,mama lerato anagoma kuondoka mpaka aongee na papa g. Papa g anatokea na kuanza msifia mama lerato mwanzo mwisho,lerato anajaribu kukumbushia maongez ila papa g anapotezea kwa kumwaga sifa zaidi,lerato anasema hata mumewe(mama mtu)huwa anamsifia.papa g anasema sio vibaya kusifia maua ya bustan kwa jiran.mama lerato anakumbushia topic na kumlaum nina kwa kutaka kamo atoe mimba.papa g anakasirika kwa kitendo cha nina

Tyson na mkewe wakiwa duncan wakipata vinywaj mara rajesh anatokea na kutaka kuongea na katgo masuala ya kibiashara(jina gumu jaman sorry kwa kukosea),tyson wivu tele,bibie anakubali ila rajesh hana cha kuongelea zaidi ya kukumbushia past yao

Nina anaenda duncan kuonana na barker na kugundua barker anataka kuidondosha sg kwa kumtumia obakeng. Nina anaona ni chance nzuri ila anataka offer kubwa zaidi
 
Asante Numbisa
 
Ahsante kwa update maana kwangu waizi wameingia wakachukua tv yao, na usawa huu wa magu sijui ni lini ntapata zari ninunue nyingine.
 
Tyson anamwambia kgotha kuwa hajapenda kitendo cha rajesh kutokea kwwnye dinner yao

Jody anamtafuta kamo kwa simu ila hampati

Lerato anawahadithia kila kitu sechaba na kamo yaliyotokea nyumban kwa zamdela,wote wanabaki kumtania mama yao kwa kumwonea aibu papa G na vituko vya papa G

Barker anamwambia tyson kuwa nina kakataa ofa ya cash bali anataka kitu kikubwa kama kuwa na share SG. Tyson anamlaum barker kwa kumleta nina kwenye njia yao na kumwambia kama atakubali shart la nina hio share itatoka kwake(barker). Barker anasema bado wana mazungumzo hivyohivyo nina watakubaliana tu

Shebeen Gabriel anamwambia papa g kuwa opareshen inaendelea na kwamba matlala ndio kiongoz pia gab anamwambia papa g anataka kuacha hizo dili ili afanye ishu nyingine,papa g anamwambia haiwezekan kujitoa bila ruhusa yake,sechaba yupo maeneo hayo anawashuhudia

Obakeng anaenda kwao na kumkuta nina,nina anajaribu kuulizia masuala ya kibiashara ila obakeng anagoma kujibu,mara papa g anatokea sebulen kapendeza mpaka obakeng akashangaa na kuuliza kulikon. Nina anajibu kuna ugeni wa mama lerato ndo maana papa g yupo hivyo. Papa g anasifia uzuri wa mama lerato

Skhu anaenda kwa tyson na kumpa udaku kuhusu morogwa,tyson anafurahia na kuona anafaa kutumiwa na anamwambia skhu afanye mipango kumvuta karibu morogwa,skhu anashangaa kugeuzwa mesenja

Jody yupo duncan counter mara brad anatokea na kumtaka wakacheze tennis,at first jody anakataa ila baada ya kuelezwa umuhimu wa mazoez na brad kwa aliyopitia,jody anakubali kujoin

Nkadi(mama lerato ) anaenda kwa zamdelas na kukuta kaandaliwa keki juisi etc bimama anasema analinda shape yake hivyo hali keki. Nina anamwambia ili kuongelea masuaka ya mimba lazima awepo mumewe(mama lerato)

Obakeng anaenda the rec anakutana na aphiwe na kuanza kumuomba msamaha ila aphiwe anakataa

Rajesh anawakuta tyson na barker Hi wakiongelea biashara,rajeah anashangaa hajashirikishwa ila tyson anajibu ni kama aliyokua anaongea na kgotha,barker anashangaa na kuuliza kulikon ila rajesh anasema siku nyingine na kuondoka

Jody na brad wametoka kucheza tennis,jody kafurahia mchezo.wakiwa wanaongea barkee anatokea na kumwambia brad ajiandae kumsindikiza jody na kwamba HI ina wasaidiz wengi na kumtaka akaenjoy

Aphiwe anaenda kumtembelea calvin na wanaongelea ujenzi wa nyumba ya thulile

Tyson na barker wanaenda shebeen kwa nina kuongea dili ila nina mashauzi kibao anataka ofa kubwa,tyson anakasirika na kutaka kuondoka,nina anawatisha wakikata ofa hio ataenda kuuza wazo lao kwa SG
 
Bila kumuona fake pastor Gabriel Mothusi yaani nahisi kama sijaona tamthiliya nzima ,jamaa yuko vizuri kiuigizaji,na hii tamthiliya ukiiangalia kwa harakaharaka unaweza kudhani ni for leasure lakini deep inside inamafunzo mengi sana
Mwanzo Nlikua sinwelewi ila siku hz bila kumuona sijafrahia show
 
Tyson anamwambia mkewe biashara gani anayojadili na rajesh ambayo barker haifahamu,ila kgotha anakuwa mkali kuona haaminiki

Brad anamwambia jody weekend wataenda fishing,barker anatokea na kutaka kujiunga nao ila vijana wanamkatalia

Mama lerato anaongea kwa simu na mumewe akimtaka aje hapo ili waende kwa zamdela kujadili zaidi,ika mumewe yupo busy na kazi hawez kuja

The rec Calvin anamueleza aphiwe raman ya nyumba ya thulile,aphiwe anafurah na kumshukuru calvin kwa kutomlaum kuwa na mahusiano na obakengo.skhu anawaangalia kwa mbali

Sechaba akiwa sheeben anamuuliza gabriel ni biashara gani anaifanya na zamdela badala ya kufocus na ulinzi SG. Gabr anasema alikua anaomba punguzo la vinywaji kwa wachimbajj na kumtaka sechaba akae mbali na mambo yake

Tyson anamlaumu barker kwa kumtegemea nina,barker anamwambia sio muda wa lawama bali anatafuta mbinu kumtoa nina,tyson anasema ndio maana akamtumia skhu kupeleleza zaidi kuhusu morogwa. Barker akashangaa na kuuliza kwann anazungukwa,tyson akamwambia hamwamin na kwamba yupo hapo kwa ajili ya kisasi pekee

Mama lerato analalamika kuhusu ubusy wa mumewe.lerato anasema ndo safi jamaa anapata hela ila mama mtu anasema anataka romance. Lerato anachekelea na kushangaa umri huo bado mama mtu anahitaji romance

Jody anamwita kamo duncan na kumtaka weekend waende fishing na brad.
Calvina anamfata obakeng na kukataa dili aliloambiwa afikirie

Rajesh anamfata barker ofisin kutaka kufahamu biashara ya barker na tyson,barker anamuuliza pia biashara ya rajesh na mke wa tyson.ila rajesh anamtaka barker awe makjn asimfiche mambo yanayohusiana na kampuni

Gabriel anamwambia morogwa asijiingize kwenye zama zama na kwamba awe huru. Morogwa anamwambia gabr haiwezekan kujitoa kwenye hio shughuli

Brad na jody weekend wakitaka kuondoka kwenda fishing,jody anamsubiria kamo,mara kamo anatokea. Brad anashangazwa na ujio huo ambao hajaupenda kwan alitaka weekend iwe yao pekee

Skhu anaenda ofisin kwa barker,barker namuuliza sababu ya kuongea na tyson pekee.skhu anasema alijua tyson anamshirikisha na barker pia. Skhu anabaki njia panda hajui amuamini nan na yupi asimuamin kati ya tyson na barker

Kgotha anarud room kwake duncan baada ya kuita anagundua tyson hayupo. Bidada nakumbuka maneno ya rajesh kuhusu kutoa mimba ya rajesh
 
Back
Top Bottom