Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Thursday

Angie anaamka na hangaover anamkuta calvin sebulen na vifaa vyake vya mazoez,calvin alikua anajiandaa kwa ajili ya mazoez na akina aphiwe kumbe vijana wana ratiba zao za weekend na sikukuu.

Obakeng anamwambia papa g kashindwa kumwambia ukweli aphiwe,papa g anamwita obakeng coward maana bidada lazima ataambiwa na wengine

Aphiwe anaenda saluni kwa furaha na kuhadithia yaliyotokea jana yake huku akimwabia lerato kuwa obakeng anafaka uhusiano uwe level nyingine,lerato haonyeshi furaha kiasi cha kumshangaza aphiwe,bidada analalamika kwa kutoa habari nzuri ila reaction anayoipata hakuitegemea

Calvin anaongea na skhu the rec mambo mbali mbali hasa alivyojiandaa kutoa somo kwa vijana ila hawakutokea

Gabriel anamfata sechaba home kwake na kumtaka akamwambie linc amrudishe kazin la sivyo atasambaza umbea wa mlipuko wa TB

Skhu anaenda kule chini mgodini na kuiba document yenye taarifa za ugonjwa wa morogwa

Kamo anamfata obakeng geto kwake kutaka kuongelea khs ujauzito na kumkumbusha kuhusu kumwambia aphiwe ukweli. Obakeng anamshaur kamo aondoke na mom ake waende kuishi kwao(kamo)kama anajibu yeye sio coward na kwamba hakimbii ataishi hapo hapo mjini

Kgotha anamuuliza tyson alipokua alhamis jion,tyson anadanganya hakumbuki maana ni weekend ndefu ya sikukuu

Sechaba anaenda penthouse kumwambia linc amruhusu gabr aendelee na majukumu sg ila linc aangoma na kutaka kujua ukweli wa sechaba kusema hivyo. Sechaba anasema ukweli vitisho vya gabr. Linc anagoma kumrudisha gabr

Aphiwe anamtembelea kamo home kwao na kumuuliza sababu ya kutoonekana salun,kamo anasema alikua amelala hajisikii vizuri na kwamba mom ake yupo so wanalumbana sana,aphiwe anasema wamama wote wapo hivyo wakiwa wanaongea anatokea mama ake lerato na kumsalimia aphiwe huku akimfatia keki na kurud kukaa nao sebulen.wakati huo huo anamwambia kamo amwambie ukweli aphiwe,kamo anakosa raha na kumtaka aphiwe waondoke waende the rec asimsikilize mama ake ila mama kamo anaropoka kuwa kamo ana mimba,kamo anakosa maneno,aphiwe anashangaa na kumwuliza kamo mbona hakumwambia na nani ni baba wa mtoto,kamo hana jibu ,mama mtu anamwambia kamo ajibu na ni haki ya aphiwe kufahamu.

Tyson na barker wanamsubiri skhu awape jibu la dili wanalolipanga,huku tyson akiwa hamwamin skhu,barker anaaamin skhu yupo tayari kuwa upande wao,wanabet kuona nani atakua sahihi.mara skhu anatokea na kuweka shart lake kuwa ili awape wanachokitaka kwanza apewe nafasi kama aliyokua nayo SG na mshahara mzuri kwa mkataba ila barker anasema mkataba wa maandishi haiwezekan,tyson anatetea na kusema hilo dili halihitaji mkataba wa maandishi ni hatari kwao hivyo wanamwomba skhu awaamin tu kwa maneno ya mdomo,skhu anainuka kuondoka akiwaambia anaenda kufikiria tena. Baada ya skhu kuondoka tyson anamuuliza barker nani mshindi wa bet yao,barker anajibu ni skhu pekee ndo anafahamu

Aphiwe analia kwa uchungu kwa usaliti aliofanyiwa na kuuliza mambo yalianza lini anajibiwa tangu kipind cha harusi ya lerato. Aphiwe anagoma kumsamehe kamo na kuondoka hapo
 
Aphiwe anaenda geto kwa obakeng na kuzusha vurugu akimlaumu jamaa kwa usaliti aliomfanyia

Angie anafungua mlango wa mbwembwe akidhan ni tyson anagonga kumbe ni calvin. Calvin anamwonya angie awe makin na mume wa mtu maana ataishia kuumia

Skhu yupo ofisin kwa nikiwe akiiba baadhi ya files kwenye pc ya nikiwe. Mara sechaba anatokea na kushangaa skhu akiwa humo,skhu anajitetea kuna kitu anatafuta na kisha kumpeleleza sechaba kuhusu yanayoendelea mgodini,sechaba anamwambia suala la morogwa na afya.

Lerato analalamika kwa mama yake kuwa aphiwe kaamua kuacha kazi.na kulaumu kwann aliambiwa mapema bali angeachwa kwanza aambiwe baadae.mamam mtu anajibh aphiwe aachwe apooze maumivu. Lerato anataka kamo arudi salun ila mama mtu anakataa ni mbaya kwa afya. Lerato anasema basi mama akasaidie huko.mama ake anakataa

Kamo anaenda the rec kumuomba msamaha aphiwe(aphiwe anafanya kazi ya uhudumu the rec) aphiwe anakataa,skhu anamwambia kamo aondoke

Gabriel akiwa geto anafurahia mara morogwa anatokea,gab anamwambia karudishiwa ajira yake SG na kumtaka morogwa awarudishe kazin wale jamaa,morogwa anakataa na kumtaka gab awafate mwenyewe,gab anatumia kitisho cha kumtaja papa g ila morogwa anamwambia gab atafute msaada wa matlala

Calvin anamwambia angie anaplan ya kuisaidia jamii kupunguza matukio ya uhalifu,eddie anatokea na kusema plan ni nzuri na katika maaongez anataja angie kumsaidia linc,calvin anaumia

Matlala,gabriel na mrorgwa wana kikao chao shaft za chin. Gabr anamtaka matlala alete watu wafanye kazi,matlala anasema shaft8/haiwezekan hivyo kazi itafanyika shaft nyingine na kutaka pesa zaidi gabr anakubali.morogwa anashangaa hashirikishiwi na kulalamika ila gabr anamwambia malipo atayapata ila haend mgodin bado anaumwa

Calvina anamlaumu angie kwa kumtetea linc wakati ni muuaji

Skhu anampa moyo aphiwe na kumtaka awasahau waliomsaliti

Kamo yupo kwenye kochi busy na simu,lerato anakuja kuazima kifaa cha salun na kuanza kulalamika kuhusu kamo kutofanya kazi sababu ya mimba.

Kamo anapokea simu ya nina akiitwa shebeen

Skhu anapeleka flash yenye documents alizoiba kwenye ofisi ya nikiwe kwa barker na tyson. Barker anapata wazo la kumtumia obakeng kuidondosha SG ila tyson anamwonya awe makini hasa na nina hawez kubali kijana wake atumike

Linc yupo kaunta duncan,calvina anatokea na kuanza kumwambia maneno kuhusu kifo cha katlego linc anakasirika. Barker anatokea na kuwaamua,calvin anaondoka. Barker anamwambia linc kuwa anadondoka haraka kiasi cha kumhuzunisha

Kamo anaenda ofisin kwa nina. Nina anamlaumu kamo kwa yaliyomtokea obakeng na aphiwe. Kamo anamwambia nina kuwa familia yake haitamchoka na watampenda daima na kwamba obakeng ana hasara ya kupata mama kama nina
 
Back
Top Bottom