Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Leo imeishia patamu morongwa kaokota pete ya katlego shaft 8 sawa wakawa wanabishana na mltala kuhusu kuireport.

mke wa sizwe kama moyo ushaanza kuangukia kwa pastor. leo kamualika kwenda rec akamnunulia maji kisha kampa mkufu wa thahabu mara mr moloi huyo... ohhh men don take thing from dis pastor.

lerato naye, kamo ameorder sijui tu nini vya rand 40,000 maana yale maandishi ya healing power yaliziba uhondo.

leo niki na boy wake ndani ya sibeko house, kuingia ndani wanakutana na mabishano ya linc na tyson. naye boy wa niki(nimemsahau jina) sasa anamuambia nik kuwa baba yake alidanganya polisi kuhusu katlego kuondoka

niishie hapa maana hii button yangu linasumbua maana natumia nokia tochi yeny net
Thanx sana... Kwa ambao hatujaangali tumepat what's going on
 
Asante boss kwa maelezo ya kina! Nimekupata vyema shukrani
 
Nimependa uigizaji wa morongwa kabishi kabishi hadi raha.

Zukisa anajipeleka pabaya na gabriel.

Weaving la nikiwe zuri.

ITV jaman dah yale matangazo yao yanakata stimu si wangeyaweka yapite kwa juu
 
Haya matangazo kwa kweli yanakera,hivi tunawafikishiaje ujumbe? Mie niko mkoani,hivi wenzetu mlioko dar hamuwezi kufikisha huu ujumbe hapo itv?
 
Hata ukiwafikishia ujumbe hawawez badilika,ni biashara,isidingo ni kipind kinachoangaliwa na wengi,hivyo wanayaweka ili ukijitahidi kusoma subtitle na matangazo unayasoma bila kupenda

Ukitaka kuangalia isiyo na bughudha ya yale matangazo, ambayo iko clear kabisa hata vile vipicha vya chupa za vaseline hakuna basi angalia marudio ya wiki nzima kila Jmosi kuanzia saa nne na nusu usiku na marudio mengine Jpili kuanzia saa nne kamili asubuhi mkuu. Yaani kitu pekee kinachoonekana kwenye screen yako ni filamu na ile logo ya ITV tu. Kitu mubasharaaa.
 
Hata ukiwafikishia ujumbe hawawez badilika,ni biashara,isidingo ni kipind kinachoangaliwa na wengi,hivyo wanayaweka ili ukijitahidi kusoma subtitle na matangazo unayasoma bila kupenda
Nia yangu sio kwamba wayaondoe matangazo,wayapitishe kwa juu badala ya chini kitu ambacho kinawezekana.
 
Leo imeishia patamu morongwa kaokota pete ya katlego shaft 8 sawa wakawa wanabishana na mltala kuhusu kuireport.

mke wa sizwe kama moyo ushaanza kuangukia kwa pastor. leo kamualika kwenda rec akamnunulia maji kisha kampa mkufu wa thahabu mara mr moloi huyo... ohhh men don take thing from dis pastor.

lerato naye, kamo ameorder sijui tu nini vya rand 40,000 maana yale maandishi ya healing power yaliziba uhondo.

leo niki na boy wake ndani ya sibeko house, kuingia ndani wanakutana na mabishano ya linc na tyson. naye boy wa niki(nimemsahau jina) sasa anamuambia nik kuwa baba yake alidanganya polisi kuhusu katlego kuondoka

niishie hapa maana hii button yangu linasumbua maana natumia nokia tochi yeny net
Anaitwa skumbuzo ace nzimande
 
Gabriel na nikiwe mambo yanaanzaga hivi hivi mazoea ya taratibu yana mambo.

Zukisa kaileta pochi ndani kawakuta tyson na linc wanabishana,yeye kamwaga mchele ni pochi ya katlego imeokotwa huko. Mambo magumu kwa linc,lile jicho kali alilokua anamwangalia zuki sio la kawaida
 
Wale mnaolalamika hamko karibu na TV jamani nenda kwenye play store etc etc pakua app ya ITV Tanzania uangalie live isidingo kupitia simu yakoo. Mubasharaaa mi nafanyaga hivyo nkichelewa kwa tv
Wengine vimchina Memory imeshajaa mkuu.
 
Zukisa bana kapewa ushauri mzuri na sechaba,akae mbali na gabriel atamchezea tu ila kamkasirikia mtoa ushauri(ukweli unauma daima)

Napenda mabango ya obakeng kwa nina si ya kitoto,angekua mwingine angeshafukuzwa kilabun zamani.

Naandika huku najishtukia labda naboa wengine kwa kuhadithia huku
 
Linc kamchimba biti yule bintiye anamwambia kwamba yeye mwanamke hana kifua cha kiume. naona niki anaelekea kuingia choo cha kiume hajui kwamba wanaume wanakojoa wakiwa wamesimama shauri yake atajikojolea alafu ashangae alikwenda chooni sijui kutali.

alafu haya matangazo yanayopitapita yanaboa ata sijaelewa vizuri
 
Hapana niki atashinda,kuna viashiria vingi vinambana linc maana akimzima niki lazima yataibuka mengi zaidi.

Linc kashikwa pabaya safati hii

Back
Top Bottom