Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Habari wanajamviii na wapenzi wa isindingo the need. Kama unapenda na una bundle la kutosha la kuangalia video online unaweza subscribe episode za isidingo the need at sabc 3 YouTube
Hao si watakuwa wapo mbele ya ile ya ITV au zote zipo sawa ??
 
Leo vp mdau hujaangalia? Vp Cal kapona?
Kapona. Kamtandika jamaa risasi.

Sema bado nuksi inamuandama kageuziwa kibao na Edie eti dead man found in his house so he has to explain. Kaswekwa rupango mweee.....

Dunia haina mema
 
Back
Top Bottom