Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Zukisa bana kapewa ushauri mzuri na sechaba,akae mbali na gabriel atamchezea tu ila kamkasirikia mtoa ushauri(ukweli unauma daima)

Napenda mabango ya obakeng kwa nina si ya kitoto,angekua mwingine angeshafukuzwa kilabun zamani.

Naandika huku najishtukia labda naboa wengine kwa kuhadithia huku
Elezea tu boss wala huboi! Mimi nafurahia
 
Da skuangalia ka wiki Iv nmeona jana....nan anaeza kua anahusika na ilo tukio?
na ile press ya Tyson na baker ilkua inahusu nn jmn
... Tyson kapata kazi UN, Lincoln anataka kum distract asiendelee kufuatilia issue ya kupotea kwa dada yake na ndiyo aliyemshauri afanye press conference awake records sawa, but on condition aachane na issue ya Katy. Sasa barker anataka issue ya Katy iibuliwe ili SGM iingie matatani ili aweze kutumia hiyo fursa kuinunua. Jambo hili walishapanga na Tyson, so alivyoona Tyson hasomeki akamchomekea swali kuhusu kashfa za zamani, Tyson na Lincoln wakabaki wameduwaa...
 
Nikiwe atakaangwa huyu mzee katili sana ha ha ha eti nikiwe anajifanya mi C.E.O mzee akamwambia iyo ni title tu kwi kwi kwi kwi kwi
 
Jana nikiwe kaita ofisini wataalamu binafsi wa mgodini kuwapa kazi wachunguze kufungwa kwa shaft 8,je sababu ni ugonjwa au kuna sababu nyingine,linc kawakuta akabishana na nikiwe akaona binti hamuelew akawapa vitisho wale wataalam mpaka wakaondoka kwa uoga.

Zukisa pamoja na ushauri wa sechaba kajipeleka kwa gabriel usiku kajipodoa kapodoka(kioo hakidanganyi)kavaa na mkufu aliopewa zawadi,kisingizio cha kwenda pale ati anampa kampan gabriel ya kwenda kutangaza kampen yake kwa viongozi wa kanisa.
 
Zukisa bana kapewa ushauri mzuri na sechaba,akae mbali na gabriel atamchezea tu ila kamkasirikia mtoa ushauri(ukweli unauma daima)

Napenda mabango ya obakeng kwa nina si ya kitoto,angekua mwingine angeshafukuzwa kilabun zamani.

Naandika huku najishtukia labda naboa wengine kwa kuhadithia huku
I personally appreciate kind of updates, you give us.
 
Back
Top Bottom