Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Ngoja nikupe kitu kitakusaidia Kaka!
Kuchora ni kipaji ambacho mtu anazaliwa nacho.
Ila mtu anaweza kujifunza kuchora ila atachora kwa mpaka!
Fine art ni Uchoraji wa kuchora kitu halisi, Kama kilivyo, kipaji hiki unazaliwa nacho hata ukasoma ukawa na Masters ya Uchoraji huku hukuzaliwa na kipaji cha Uchoraji huwezi kuwa na uwezo sawa na mtoto mdogo mwenye kipaji na ambaye hakwenda shule.
Kuchora TINGATINGA na Abstract painting zingine mtu yoyote ambaye hakuzaliwa na kipaji cha uchoraji anaweza kujifunza na akachora kwa uwezo wake.. ..
Bahati nzuri sanaa ni kile kinachotoka kichwani mwako, haijarishi kina makosa kiasi gani still ni kazi ya sanaa!
So usishangae mchoraji wa aina nyingine ya picha hata ukamwekea Prado hapo ukamwambia akuchoree picha ya Nyerere Kama ilivyo akashindwa coz sio mchoraji halisi wa kuzaliwa.

All in all hata really fine art painting artist huzidiana kipaji, kwa artist akiona kazi ya mwenzake anajua ana uwezo Mkubwa kumzidi au mdogo , na atajua simple tu kupitia details za painting husika.
 
Picha Kama hiyo mdau ndo anasema Edit...?
Hajui Ulaya kuna mtu anazaliwa na kipaji cha Uchoraji, anaenda Shule za Uchoraji, anakua mpaka na PhD ya Uchoraji huwezi kushindana nae kwa fine art........

Ndo maana Hakuna fine art painting za ki africa zinazouzika nje zaidi ya Tingatinga and other Abstract artwork, Wildlife, Knife paknting n. k
 
Hakuna fine art za kitanzania zinauzika nje,
Zaidi ya tingatinga,
Mh!
2+2=7
Sawa,enjoy
 
Yule Eva hapo juu kachora picha ya JICHO cheki mazaga anayotumia!!
 
Kwa nini huamni?
Huamni vipaji vya watu?
Je chenga za ronadinho ni kweli ? Au editing?
Mbina picha huamni
Picha nyingi zinazoletwa humu ni edits tu,siyo pensilskerch halisi,yaani penseli mkono kifuto na canvas ama karatasi,
 
Ukileta mmni tag
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…