Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Kuna jamaa yangu ni bingwa wa kuchora picha za vinyago(tingatinga)nk lkn ukimpa picha hata ya paka anashindwa,lkn na yy huwa anapeleka sana nje kazi yake ya kuchora picha za vinyago,kumbe kwenda kuonesha kazi nje siyo kujua usahihi wa kuchora picha halisi,
Ngoja nikupe kitu kitakusaidia Kaka!
Kuchora ni kipaji ambacho mtu anazaliwa nacho.
Ila mtu anaweza kujifunza kuchora ila atachora kwa mpaka!
Fine art ni Uchoraji wa kuchora kitu halisi, Kama kilivyo, kipaji hiki unazaliwa nacho hata ukasoma ukawa na Masters ya Uchoraji huku hukuzaliwa na kipaji cha Uchoraji huwezi kuwa na uwezo sawa na mtoto mdogo mwenye kipaji na ambaye hakwenda shule.
Kuchora TINGATINGA na Abstract painting zingine mtu yoyote ambaye hakuzaliwa na kipaji cha uchoraji anaweza kujifunza na akachora kwa uwezo wake.. ..
Bahati nzuri sanaa ni kile kinachotoka kichwani mwako, haijarishi kina makosa kiasi gani still ni kazi ya sanaa!
So usishangae mchoraji wa aina nyingine ya picha hata ukamwekea Prado hapo ukamwambia akuchoree picha ya Nyerere Kama ilivyo akashindwa coz sio mchoraji halisi wa kuzaliwa.

All in all hata really fine art painting artist huzidiana kipaji, kwa artist akiona kazi ya mwenzake anajua ana uwezo Mkubwa kumzidi au mdogo , na atajua simple tu kupitia details za painting husika.
 
Screenshot_2019-05-07-21-17-33.jpeg
 
Picha Kama hiyo mdau ndo anasema Edit...?
Hajui Ulaya kuna mtu anazaliwa na kipaji cha Uchoraji, anaenda Shule za Uchoraji, anakua mpaka na PhD ya Uchoraji huwezi kushindana nae kwa fine art........

Ndo maana Hakuna fine art painting za ki africa zinazouzika nje zaidi ya Tingatinga and other Abstract artwork, Wildlife, Knife paknting n. k
 
Hakuna fine art za kitanzania zinauzika nje,
Zaidi ya tingatinga,
Mh!
2+2=7
Sawa,enjoy
Picha Kama hiyo mdau ndo anasema Edit...?
Hajui Ulaya kuna mtu anazaliwa na kipaji cha Uchoraji, anaenda Shule za Uchoraji, anakua mpaka na PhD ya Uchoraji huwezi kushindana nae kwa fine art........

Ndo maana Hakuna fine art painting za ki africa zinazouzika nje zaidi ya Tingatinga and other Abstract artwork, Wildlife, Knife paknting n. k
 
Yule Eva hapo juu kachora picha ya JICHO cheki mazaga anayotumia!!
Picha Kama hiyo mdau ndo anasema Edit...?
Hajui Ulaya kuna mtu anazaliwa na kipaji cha Uchoraji, anaenda Shule za Uchoraji, anakua mpaka na PhD ya Uchoraji huwezi kushindana nae kwa fine art........

Ndo maana Hakuna fine art painting za ki africa zinazouzika nje zaidi ya Tingatinga and other Abstract artwork, Wildlife, Knife paknting n. k
 
Kwa nini huamni?
Huamni vipaji vya watu?
Je chenga za ronadinho ni kweli ? Au editing?
Mbina picha huamni
Picha nyingi zinazoletwa humu ni edits tu,siyo pensilskerch halisi,yaani penseli mkono kifuto na canvas ama karatasi,
 
Ukileta mmni tag
Sijasema picha zote ni edits,lkn zilizo nyingi ni edit,kwa asiye mchoraji hawezi jua yy ataishia kukodoa tu,ipo hivi ukitaka kujitangaza unachofanya unapiga picha kazi yako,ama clip kisha una iedit,unaing'arisha na kuikolezea vivuli na ming'ao,unaiondole kunyanzi,inaonekana smooth,unaweza shangaa picha uliyoletewa humu ukikutana nayo kwa macho ukashangaa,
Computer imerahisisha sana mambo,
Kuna picha najaribu hapa kuileta humu ikiwa halisi niliyochora ya mkono,penseli za kawaida,kifuto na canvas,halafu hiyo hiyo nataka niifanyie mautundu niilete nayo humu ili uone tunachofanyaga
 
Kabisa
Mchoraji hawezi kuongea maneno hayo kama mtu asiye na kipaji cha Uchoraji ......

Ina maana hujawahi kuona Youtube au Facebook artist wakubwa wakichora live picha za Kalamu ya Wino, Penseli au Rangi?

Hujawahi kuona still pictures za artist zikionyesha steps by steps alivyoanza kuchora mpaka kumaliza?

Hiyo picha hapo juu ya Mchekeshaji Black America inaonyesha hata kukamilika bado, unaona upande mmoja wa jicho haujakamilika.....inaonyesha kazi inaendelea.....

Unapozungumza ku edit unazungumzia nini? Kuchora kupitia Computer program ama?

I'm fine art painting artist pia, sio tu nauza kazi zangu nje mpaka sasa but nimekaa nje nikichora na kushikiriki exhibitions tofauti!

Trip moja nilipeleka kazi kuuza nje, ilikua Capetown kuna sehemu inaitwa Sea view, nilimkuta Nigerian artist anawachora watu kwa Penseli vile vile, just for 10 mins kamaliza, watu wamepanga foleni, japo ni artist nilikubari kuwa jamaa uwezo wake ulikua juu.

Mkuu usishangae artist akifanya kitu kile huwezi fanya ukasema sio kazi ya mkono na Penseli, tumetofautiana Vipaji .
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom