Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,417
- 5,441
Ngoja nikupe kitu kitakusaidia Kaka!Kuna jamaa yangu ni bingwa wa kuchora picha za vinyago(tingatinga)nk lkn ukimpa picha hata ya paka anashindwa,lkn na yy huwa anapeleka sana nje kazi yake ya kuchora picha za vinyago,kumbe kwenda kuonesha kazi nje siyo kujua usahihi wa kuchora picha halisi,
Kuchora ni kipaji ambacho mtu anazaliwa nacho.
Ila mtu anaweza kujifunza kuchora ila atachora kwa mpaka!
Fine art ni Uchoraji wa kuchora kitu halisi, Kama kilivyo, kipaji hiki unazaliwa nacho hata ukasoma ukawa na Masters ya Uchoraji huku hukuzaliwa na kipaji cha Uchoraji huwezi kuwa na uwezo sawa na mtoto mdogo mwenye kipaji na ambaye hakwenda shule.
Kuchora TINGATINGA na Abstract painting zingine mtu yoyote ambaye hakuzaliwa na kipaji cha uchoraji anaweza kujifunza na akachora kwa uwezo wake.. ..
Bahati nzuri sanaa ni kile kinachotoka kichwani mwako, haijarishi kina makosa kiasi gani still ni kazi ya sanaa!
So usishangae mchoraji wa aina nyingine ya picha hata ukamwekea Prado hapo ukamwambia akuchoree picha ya Nyerere Kama ilivyo akashindwa coz sio mchoraji halisi wa kuzaliwa.
All in all hata really fine art painting artist huzidiana kipaji, kwa artist akiona kazi ya mwenzake anajua ana uwezo Mkubwa kumzidi au mdogo , na atajua simple tu kupitia details za painting husika.