Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Kuna suala hapa kuna mtu alinidokeza nikaona ni busara kuuliza kwa wazoefu. Subaru Forester zisizo na Turbo za kuanzia mwaka 2008 au 2009 - 2011 zinatumia electric steering wheel (au za bush wengine wanaita). Wakati zile zenye turbo zinatumia hydraulic. Je, hizi zisizo na turbo hiyo steering system inasumbua kiasi gani?? Ni kitu cha kuepeuka ikiwezekana? Najua vanguard zina shida hiyo pia kwamba na hizi barabara zetu baada ya muda lazima ianze kugonga. Ushauri tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
Zenye turbo kama hii zinatumia hydraulic
IMG_20190424_124937_3.jpeg
IMG_20200425_153111_6.jpeg


kp app
 
Hii gari ina miaka sita naitumia tangu ilipoiagiza kutoka Japan. Hii ina turbo (chips mayai) zingine model kama hii hazina turbo (chips kavu). Engine haijawahi kuguswa, zaidi ya kubadilisha plagi, petrol filter na oil filter. Nyepesi sana kuondoka. Ukisafiri mwendo mrefu ndio utaona utamu wa subaru. Shida ya subaru spare zake zinapatikana kwa shida na bei yake imechangamka. Siyo kila sehemu unaweza kupata spare yake kama toyotaView attachment 1431000

kp app
Dump valve sikuhizi inaitwa chips mayai
 
Back
Top Bottom