Naombeni ushauri juu ya Mitsubishi RVR/Outlander

keypass

Member
Dec 2, 2017
92
142
Habarini wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje.

Kwasasa natumia Toyota Premio ambayo kiukweli naifurahia kuanzia consumption ya mafuta hadi issue ya vifaa vyake viko cheap and available changamoto ni kwamba iko chini, sasa natamani kununua gari nyingine ya juu kidogo.

Nimekuwa nikiziona hizo gari tajwa hapo,naona ziko juu na pia hata bei yake unaweza pata Kwa below 30M.

Naomba Kwa yoyote mwenye kujua changamoto ya hizo gari anijuze tafadhali, ili pia Mimi na mwingine yoyote azitambue ili aepukane na maamuzi ya kujutia Kwa kutokujua.

Natanguliza Shukran (Kabla ya kuziona hizo Mitsubishi tajwa mawazo yangu yalikuwa Yako kwenye Subaru Forester Tx)
 
Mitsubishi RVR ni Compact-Crossover SUV ambayo toleo la kwanza haikufanya vizuri sokoni. Hizi ambazo unaziona kwa sasa Tanzania ni toleo la pili ambalo lilianza mwaka 2010.

Baadhi ya Specifications zake ni kama zifuatazo;

TRIM-LEVEL (DARAJA)

Gari hii inakuja na madaraja matatu yaani “E” Kama level ya chini kabisa, “M”kama level ya kati na “G” kama level ya juu kwa maana kwamba iko na features nyingi na ni gharama kidogo

DRIVE TRAIN

Hapa kwenye kila Trim-level utapata chaguo la either 2WD au 4WD kutokana na uhitaji wako

ENGINE (4B10/4B11)

1.8-liter (4B10)/2.0-liter (4B11) 16-valve four-cylinder DOHC MIVEC (Mitsubishi Innovative Valve-timing Electronic Control). Hapa nyingi zinazokuja Tanzania ni za soko la Japan, hizi zenye CC2000 ni soko la Ulaya

TRANSMISSION

INVECS-III (Intelligent and Innovative Vehicle Electronic Control System) 6-speed sport mode CVT (Continuous Variable Transmission)

FEATURES

Gari hii inakuja na Paddle Shifters kama sport mode, Adaptive Cruise Control (ACC), Active Stability Control (ASC), Rear seat center armrest, HID headlight, Panorama glass roof (with LED illumination), Push-button engine switch for smooth engine start-up, Tilt and telescoping steering wheel to adjust the steering wheel height and angle for the optimal driving position, Rockford Fosgate Premium Sound System for enjoyment of dynamic concert-hall quality sound e.t.c hizi ni baadhi ya vitu RVR inakuja navyo kutegemea na Trim-level ya gari yako.

FUEL CONSUMPTION FIGURE

RVR ina matumizi mazuri ya mafuta katika daraja lake, 15.2km/L kwa 2WD na 15.0km/L kwa modeli za 4WD.

CHANGAMOTO

  • Gari hizi zina changamoto yaku-overheat gearbox kama ukiweka vilainishi ambavyo ni tofauti na manufacturer recommendation (Gearbox oil yake ni CVTF-J1 au J4, soma Dipstick yako), pia sababu nyingine ya overheating ni aggressing driving/rough driving maana CVT vehicle zina tumia gear ratio na ni smooth hivyo inachanganya yenyewe. Kingine kutobadilisha oil na filters za gearbox kwa wakati
  • Hizi gari ni slow at initial acceleration ila ikichanganya ni moto wa kuotea mbali
  • Gearbox belt sleep inayochangiwa na tabia ya mwenye gari kwa mfano wakati una reverse na gari bado inarudi nyuma ghafra unaweka Drive hii haitakiwi kwenye gari za CVT
  • Spare parts kidogo ni gharama japo zinapatikana
Kwa ujumla RVR ni gari nzuri, very comfortable, fuel economy nzuri and reliable kama utazingatia mambo yote ya msingi.
 
Attachments

  • r.jpg
    r.jpg
    50.1 KB · Views: 34
  • 44662.jpg
    44662.jpg
    24.9 KB · Views: 26
  • 44666.jpg
    44666.jpg
    18.3 KB · Views: 36
  • 44678.jpg
    44678.jpg
    16.4 KB · Views: 33
Habarini wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje.

Kwasasa natumia Toyota Premio ambayo kiukweli naifurahia kuanzia consumption ya mafuta hadi issue ya vifaa vyake viko cheap and available changamoto ni kwamba iko chini, sasa natamani kununua gari nyingine ya juu kidogo.

Nimekuwa nikiziona hizo gari tajwa hapo,naona ziko juu na pia hata bei yake unaweza pata Kwa below 30M.

Naomba Kwa yoyote mwenye kujua changamoto ya hizo gari anijuze tafadhali, ili pia Mimi na mwingine yoyote azitambue ili aepukane na maamuzi ya kujutia Kwa kutokujua.

Natanguliza Shukran (Kabla ya kuziona hizo Mitsubishi tajwa mawazo yangu yalikuwa Yako kwenye Subaru Forester Tx)
Kwa Outlander, asilimia kubwa vitu vinaendana na RVR ila maelezo zaidi ni kama ifuatavyo;
Mitsubishi Outlander ni Mid-Size SUV ambayo ina configuration za 5-seater na 7-seater. (Kuna ile ya kawaida, Roadest, PHEV (Plug-In Hybrid Electric Vehicle), so far kuna generation nyingi).

Gari hii ni kaka wa RVR ambazo Specifications zake zinafanana sana ukiachilia mbali ukubwa wa body, engine na sitting arrangement.

TRIM-LEVEL (DARAJA)

Gari hii inakuja na madaraja-2 yaani “M” Kama Basic model na “G” kama level ya juu kwa maana kwamba iko na features nyingi na ni gharama kidogo.

DRIVE TRAIN

Hapa kwenye kila Trim-level utapata chaguo la either 2WD au 4WD (Electronically controlled) kutokana na uhitaji wako

ENGINE (4B11 (CC2000), 4B12 (CC2400) & 6B31 (CC3000-V6))

2.0-liter (4B11), 2.4-liter (4B12) 16-valve four-cylinder DOHC MIVEC (Mitsubishi Innovative Valve-timing Electronic Control). Hapa nyingi zinazokuja Tanzania ni za soko la Japan, hizi zenye CC3000 ni soko la Ulaya ambazo kuna manual (Petrol na Diesel) v6 powered.

TRANSMISSION (Outlander ambazo ni common kwa Tanzania ni cc2000 na 2400)

INVECS-III (Intelligent and Innovative Vehicle Electronic Control System) 6-speed sport mode CVT (Continuous Variable Transmission)

SUSPENSION SYSTEM

Outlander employs a MacPherson strut front and a trailing arm-type multi-link arrangement rear suspension. The wider track and longer stroke improve handling and stability.

FEATURES

Gari hii inakuja na Paddle Shifters kama sport mode, Adaptive Cruise Control (ACC), Active Stability Control (ASC), Rear seat center armrest, HID headlight, Panorama glass roof (with LED illumination), Push-button engine switch for smooth engine start-up, Tilt and telescoping steering wheel to adjust the steering wheel height and angle for the optimal driving position na pia ina option ya DC (inakuwezesha kuchaji vitu kama Laptop, Camera, Simu) etc. hivi ni baadhi ya vitu vinavyopatikana kwenye Mitsubishi Outlander na kuvipata vyote kwenye gari inategemea na Trim-level ya gari yako.

ENTERTAINMENT

Outlander nyingi zina kuja BUILT-IN SUBWOOFER, ambayo ni Rockford Fosgate Premium Sound System for enjoyment of dynamic concert-hall quality sound. Pia ipo na COOLER BOX inayokupa nafasi ya kupoza vinywaji vyako vichache.

FUEL CONSUMPTION FIGURE

Angalia kwenye attachment chini.

CHANGAMOTO

  • Gari hizi zina changamoto yaku-overheat gearbox kama ukiweka vilainishi ambavyo ni tofauti na manufacturer recommendation (Gearbox oil yake ni CVTF-J1 au J4, soma Dipstick yako), pia sababu nyingine ya overheating ni aggressing driving/rough driving maana CVT vehicle zina tumia gear ratio na ni smooth hivyo inachanganya yenyewe. Kingine kutobadilisha oil na filters za gearbox kwa wakati
  • Hizi gari ni slow at initial acceleration ila ikichanganya ni moto wa kuotea mbali
  • Gearbox belt sleep inayochangiwa na tabia ya mwenye gari kwa mfano wakati una reverse na gari bado inarudi nyuma ghafra unaweka Drive hii haitakiwi kwenye gari za CVT.
  • Spare parts kidogo ni gharama japo zinapatikana na ukifunga zinakaa muda mrefu (Kuna options zote Mchina, Mjapan au toka Thailand)
Kwa ujumla Outlander ni gari nzuri, very comfortable, fuel economy nzuri and reliable kama utazingatia mambo yote ya msingi.
 
Attachments

  • FUEL CONSUMPTION.PNG
    FUEL CONSUMPTION.PNG
    31 KB · Views: 45
  • r.jpg
    r.jpg
    38.5 KB · Views: 36
Mitsubishi RVR ni Compact-Crossover SUV ambayo toleo la kwanza haikufanya vizuri sokoni. Hizi ambazo unaziona kwa sasa Tanzania ni toleo la pili ambalo lilianza mwaka 2010.

Baadhi ya Specifications zake ni kama zifuatazo;

TRIM-LEVEL (DARAJA)

Gari hii inakuja na madaraja matatu yaani “E” Kama level ya chini kabisa, “M”kama level ya kati na “G” kama level ya juu kwa maana kwamba iko na features nyingi na ni gharama kidogo

DRIVE TRAIN

Hapa kwenye kila Trim-level utapata chaguo la either 2WD au 4WD kutokana na uhitaji wako

ENGINE (4B10/4B11)

1.8-liter (4B10)/2.0-liter (4B11) 16-valve four-cylinder DOHC MIVEC (Mitsubishi Innovative Valve-timing Electronic Control). Hapa nyingi zinazokuja Tanzania ni za soko la Japan, hizi zenye CC2000 ni soko la Ulaya

TRANSMISSION

INVECS-III (Intelligent and Innovative Vehicle Electronic Control System) 6-speed sport mode CVT (Continuous Variable Transmission)

FEATURES

Gari hii inakuja na Paddle Shifters kama sport mode, Adaptive Cruise Control (ACC), Active Stability Control (ASC), Rear seat center armrest, HID headlight, Panorama glass roof (with LED illumination), Push-button engine switch for smooth engine start-up, Tilt and telescoping steering wheel to adjust the steering wheel height and angle for the optimal driving position, Rockford Fosgate Premium Sound System for enjoyment of dynamic concert-hall quality sound e.t.c hizi ni baadhi ya vitu RVR inakuja navyo kutegemea na Trim-level ya gari yako.

FUEL CONSUMPTION FIGURE

RVR ina matumizi mazuri ya mafuta katika daraja lake, 15.2km/L kwa 2WD na 15.0km/L kwa modeli za 4WD.

CHANGAMOTO

  • Gari hizi zina changamoto yaku-overheat gearbox kama ukiweka vilainishi ambavyo ni tofauti na manufacturer recommendation (Gearbox oil yake ni CVTF-J1 au J4, soma Dipstick yako), pia sababu nyingine ya overheating ni aggressing driving/rough driving maana CVT vehicle zina tumia gear ratio na ni smooth hivyo inachanganya yenyewe. Kingine kutobadilisha oil na filters za gearbox kwa wakati
  • Hizi gari ni slow at initial acceleration ila ikichanganya ni moto wa kuotea mbali
  • Gearbox belt sleep inayochangiwa na tabia ya mwenye gari kwa mfano wakati una reverse na gari bado inarudi nyuma ghafra unaweka Drive hii haitakiwi kwenye gari za CVT
  • Spare parts kidogo ni gharama japo zinapatikana
Kwa ujumla RVR ni gari nzuri, very comfortable, fuel economy nzuri and reliable kama utazingatia mambo yote ya msingi.
Mkuu wangu nashukuru sana Kwa maelezo mazuri na yaliyoshiba,Asante sana
 
Kwa Outlander, asilimia kubwa vitu vinaendana na RVR ila maelezo zaidi ni kama ifuatavyo;
Mitsubishi Outlander ni Mid-Size SUV ambayo ina configuration za 5-seater na 7-seater. (Kuna ile ya kawaida, Roadest, PHEV (Plug-In Hybrid Electric Vehicle), so far kuna generation nyingi).

Gari hii ni kaka wa RVR ambazo Specifications zake zinafanana sana ukiachilia mbali ukubwa wa body, engine na sitting arrangement.

TRIM-LEVEL (DARAJA)

Gari hii inakuja na madaraja-2 yaani “M” Kama Basic model na “G” kama level ya juu kwa maana kwamba iko na features nyingi na ni gharama kidogo.

DRIVE TRAIN

Hapa kwenye kila Trim-level utapata chaguo la either 2WD au 4WD (Electronically controlled) kutokana na uhitaji wako

ENGINE (4B11 (CC2000), 4B12 (CC2400) & 6B31 (CC3000-V6))

2.0-liter (4B11), 2.4-liter (4B12) 16-valve four-cylinder DOHC MIVEC (Mitsubishi Innovative Valve-timing Electronic Control). Hapa nyingi zinazokuja Tanzania ni za soko la Japan, hizi zenye CC3000 ni soko la Ulaya ambazo kuna manual (Petrol na Diesel) v6 powered.

TRANSMISSION (Outlander ambazo ni common kwa Tanzania ni cc2000 na 2400)

INVECS-III (Intelligent and Innovative Vehicle Electronic Control System) 6-speed sport mode CVT (Continuous Variable Transmission)

SUSPENSION SYSTEM

Outlander employs a MacPherson strut front and a trailing arm-type multi-link arrangement rear suspension. The wider track and longer stroke improve handling and stability.

FEATURES

Gari hii inakuja na Paddle Shifters kama sport mode, Adaptive Cruise Control (ACC), Active Stability Control (ASC), Rear seat center armrest, HID headlight, Panorama glass roof (with LED illumination), Push-button engine switch for smooth engine start-up, Tilt and telescoping steering wheel to adjust the steering wheel height and angle for the optimal driving position na pia ina option ya DC (inakuwezesha kuchaji vitu kama Laptop, Camera, Simu) etc. hivi ni baadhi ya vitu vinavyopatikana kwenye Mitsubishi Outlander na kuvipata vyote kwenye gari inategemea na Trim-level ya gari yako.

ENTERTAINMENT

Outlander nyingi zina kuja BUILT-IN SUBWOOFER, ambayo ni Rockford Fosgate Premium Sound System for enjoyment of dynamic concert-hall quality sound. Pia ipo na COOLER BOX inayokupa nafasi ya kupoza vinywaji vyako vichache.

FUEL CONSUMPTION FIGURE

Angalia kwenye attachment chini.

CHANGAMOTO

  • Gari hizi zina changamoto yaku-overheat gearbox kama ukiweka vilainishi ambavyo ni tofauti na manufacturer recommendation (Gearbox oil yake ni CVTF-J1 au J4, soma Dipstick yako), pia sababu nyingine ya overheating ni aggressing driving/rough driving maana CVT vehicle zina tumia gear ratio na ni smooth hivyo inachanganya yenyewe. Kingine kutobadilisha oil na filters za gearbox kwa wakati
  • Hizi gari ni slow at initial acceleration ila ikichanganya ni moto wa kuotea mbali
  • Gearbox belt sleep inayochangiwa na tabia ya mwenye gari kwa mfano wakati una reverse na gari bado inarudi nyuma ghafra unaweka Drive hii haitakiwi kwenye gari za CVT.
  • Spare parts kidogo ni gharama japo zinapatikana na ukifunga zinakaa muda mrefu (Kuna options zote Mchina, Mjapan au toka Thailand)
Kwa ujumla Outlander ni gari nzuri, very comfortable, fuel economy nzuri and reliable kama utazingatia mambo yote ya msingi.
Naona inafana Kwa vingi na RVR ila kwenye consumption ya mafuta naona RVR iko poa Zaidi, nashukuru sana Kwa hizi nondo,naona hadi sasa baada ya kusoma Kwa utulivu hizi nondo RVR imeibuka kidedea kichwani mwangu.
 
Back
Top Bottom