Naomba ushauri kati ya Subaru Impreza na Premi ipi inafaa

Black Mirror

JF-Expert Member
Oct 17, 2019
837
1,053
Salaam niliwahi kuomba kupewa sifa na tabia za gari la Subaru Impreza ila sikupata majibu, narudi tena humu wale wajuvi wa vyombo hivi vya moto kati ya Subaru Impreza na Premo ni nijue gari gani linaweza kunifaa kwa matumizi ya kawaida, kwa kuzingatia gharama za utunzaji wa gari, uimara wa gari, changamoto za magari hayo na upatikanaji wa spare zake. Na mengine ambayo siyajui Naomba msaada
 
Gari mbili tofauti sana kwa watu wawili tofauti

Ni ngumu upende Impreza hapo hapo Premio

Anyways nazani ukifata moyo wako ni bora sana kuliko maoni yetu sisi hapa
 
Salaam niliwahi kuomba kupewa sifa na tabia za gari la Subaru Impreza ila sikupata majibu, narudi tena humu wale wajuvi wa vyombo hivi vya moto kati ya Subaru Impreza na Premo ni nijue gari gani linaweza kunifaa kwa matumizi ya kawaida, kwa kuzingatia gharama za utunzaji wa gari, uimara wa gari, changamoto za magari hayo na upatikanaji wa spare zake. Na mengine ambayo siyajui Naomba msaada
Sijamaliza kusoma lkn kwa povu lako nunua premio tu. kila la heri
 
Back
Top Bottom