maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 956
Zipo ripoti za watu fulani wakipita sehemu mida flani na wakikukuta upo na chupa ya maji au soda kama krest au sprite wananusa eti kama umeweka konyagi
wengine wanavamia gesti eti wanasaka mashoga, ukikutwa na mwanamke mnaulizwa cheti cha ndoa..
Hivi hamjui kuna watu wanaishi na wenza wao na watoto kwenye chumba kimoja wakitaka kufanya yao wanaenda kuchukua chumba gesti hausi?
Maisha yenyewe magumu lakini ni kama kila kiongozi anafanya ubabe wa kutoa matamko ya kukandamiza watu ili tu apande cheo maana hata u RC unapatikana kirahisi kwa Kuwakosea heshima senior politicians na kutoa mipango hewa, God forbid huyo mtu unaweza kuta kichwani kwake anawaza kuwa Rais wa nchi hii IN 30 YEARS.
Hii spidi ya kutaka watu waishi kama mashetani inashangaza sana
kama mnabisha tumeni hao mashushu wenu wawaletee ripoti za ukweli kutoka kitaa....
HAKUNA FURAHA KABISA WATU WAMEKATA TAMAA NA MATAMKO YA MWENDOKASI NDO KABISAAA YANAWAACHA HOI