Machungu ya life yanaongezwa na viongozi watafuta kick

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Zipo ripoti za watu fulani wakipita sehemu mida flani na wakikukuta upo na chupa ya maji au soda kama krest au sprite wananusa eti kama umeweka konyagi
wengine wanavamia gesti eti wanasaka mashoga, ukikutwa na mwanamke mnaulizwa cheti cha ndoa..

Hivi hamjui kuna watu wanaishi na wenza wao na watoto kwenye chumba kimoja wakitaka kufanya yao wanaenda kuchukua chumba gesti hausi?
Maisha yenyewe magumu lakini ni kama kila kiongozi anafanya ubabe wa kutoa matamko ya kukandamiza watu ili tu apande cheo maana hata u RC unapatikana kirahisi kwa Kuwakosea heshima senior politicians na kutoa mipango hewa, God forbid huyo mtu unaweza kuta kichwani kwake anawaza kuwa Rais wa nchi hii IN 30 YEARS.

Hii spidi ya kutaka watu waishi kama mashetani inashangaza sana
kama mnabisha tumeni hao mashushu wenu wawaletee ripoti za ukweli kutoka kitaa....

HAKUNA FURAHA KABISA WATU WAMEKATA TAMAA NA MATAMKO YA MWENDOKASI NDO KABISAAA YANAWAACHA HOI
 
siku hizi katiba mama ni 'MATAMKO YA VIONGOZI'
wanachoamini wao kuwa maisha wanayoishi WAO ni sawa sawa na RAIA wanaowaongoza.
 
Hilo ni kweli hata nami naona watu wanafanya matukio ya ujiko ili kurushwa ktk vyombo vya habari wasikike wanafanya majukumu yao kumbe ni drama tu kwa Watz huku wakifanya juu chini kubaki ktk nafas zao kuogopa kutumbuliwa,wengine wakitaraji nafas za juu,nimetokea kuchukia sana hizi drama.
 
labda watu kukosa furaha inawapa raha baadhi ya watawala sababu ni rahisi kuwatawala wanyonge
Zipo ripoti za watu fulani wakipita sehemu mida flani na wakikukuta upo na chupa ya maji au soda kama krest au sprite wananusa eti kama umeweka konyagi
wengine wanavamia gesti eti wanasaka mashoga, ukikutwa na mwanamke mnaulizwa cheti cha ndoa..

Hivi hamjui kuna watu wanaishi na wenza wao na watoto kwenye chumba kimoja wakitaka kufanya yao wanaenda kuchukua chumba gesti hausi?
Maisha yenyewe magumu lakini ni kama kila kiongozi anafanya ubabe wa kutoa matamko ya kukandamiza watu ili tu apande cheo maana hata u RC unapatikana kirahisi kwa Kuwakosea heshima senior politicians na kutoa mipango hewa, God forbid huyo mtu unaweza kuta kichwani kwake anawaza kuwa Rais wa nchi hii IN 30 YEARS.

Hii spidi ya kutaka watu waishi kama mashetani inashangaza sana
kama mnabisha tumeni hao mashushu wenu wawaletee ripoti za ukweli kutoka kitaa....

HAKUNA FURAHA KABISA WATU WAMEKATA TAMAA NA MATAMKO YA MWENDOKASI NDO KABISAAA YANAWAACHA HOI
Wapi Meelaaa .
 
Back
Top Bottom