Macho yasiyo na hisia yamebeba ukatili

Macho yasiyo na hisia yamebeba ukatili

Macho ya nanihii mbona hujayaweka hapa?

Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na umbo zima la usoni
Kuna macho ya mshangao
Kuna macho ya majonzi
Kuna macho ya kuogofya
Kuna macho ya soni
Kuna macho ya hasira
Kuna macho yanawaka nk nkView attachment 424363View attachment 424365 ni ngumu sana kupata picha halisi ya hisia za mtu kama hujaona macho/uso wake
Sasa kuna haya macho yasiyobeba hisia zozote na hii ni kitu kinachotoka moyoni na kwenye ufahamu! Macho ni tochi tu ya kumulika lakini hisia ziko ndani ya moyo na ufahamu
Macho ya namna hii wanayo watu katili watu wenye rohombaya watu wanaotisha wasio na hisia zozote za kiutu ama kibinadamu.! Macho hubeba uhalisia wa mtu kwa kiwango cha juu mno View attachment 424367 ukiwa kwenye jumuiya leo iwe ofisini sokoni au kwenye usafiri chunguza macho ya watu utagundua mengi
 
Macho ya nanihii mbona hujayaweka hapa?
Hayaonekani
tapatalk_1553404059936.jpeg

Jr[emoji769]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukiingia mtumbulie macho bila kupepesa na ili upate confidence zaidi mwangalie juu kidogo ya macho yake utakuwa unaona paji lake lakini yeye atadhani unamwangalia yeye
Duuu...kama hana macho ya kuangalia akamwazimishe Kabudi,meneja atampa mafao yake chapu.
Ukweli ni kwamba huwezi kumwangalia mwenzako zaidi ya sec 10....60% huonesha aibu ...
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu...kama hana macho ya kuangalia akamwazimishe Kabudi,meneja atampa mafao yake chapu.
Ukweli ni kwamba huwezi kumwangalia mwenzako zaidi ya sec 10....60% huonesha aibu ...

Jr[emoji769]
 
Mwaka Jana nilikwepa kodi nikadakwa na askari mmoja kabla jamaa hajaanza hata kunihoji alinitazama usoni kwa dk kama 3 halafu haongei kitu... Dah! Ilibidi niwe mpole tu na kufunguka ili yaishe.. Maana alikuwa anatisha kama macho ya bundi
[emoji16][emoji16][emoji16] hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doh! Sasa nimejua nitakua naangalia watu machoni kabla ya kutaniana nao wengine sio wa mchezo mchezo [emoji3][emoji16][emoji23][emoji119]

View attachment 424547
Kweli mkuu inabidi ufanye hivyo, nakumbuka siku moja kuna majamaa yalitumwa yalete posa nyumbani asa mzee alikua hayupo hivyo nikaenda kujitambulisha na utani kidogo

Wakati naongea sikuwaangalia usoni manaake walikua kama wa4 hivi
Basi nikajikuta nawatupia macho bwana wee nilikutana na sura zimekunja ndita kama zimelishwa ndimu, asa wao kwa mawazo yao walifikiri sijui mimi ndiyo nimetumwa niwasikilize daah yaani ile taswira ikijiaga huwa najishusha thamani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu inabidi ufanye hivyo, nakumbuka siku moja kuna majamaa yalitumwa yalete posa nyumbani asa mzee alikua hayupo hivyo nikaenda kujitambulisha na utani kidogo

Wakati naongea sikuwaangalia usoni manaake walikua kama wa4 hivi
Basi nikajikuta nawatupia macho bwana wee nilikutana na sura zimekunja ndita kama zimelishwa ndimu, asa wao kwa mawazo yao walifikiri sijui mimi ndiyo nimetumwa niwasikilize daah yaani ile taswira ikijiaga huwa najishusha thamani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ukiona nakuachia macho yangu uyatizama basi tambua huna akili sawasawa na ndiyo nimeweza kukuchia utizame macho yangu bila shida,kinyume na hivyo simuuchi mtu atizame macho yangu.
 
Ukitaka kujua mtu anaeongea uongo muangalie machoni bila kupepesa macho utamuona anaanza kuona aibu au kiangalia pembeni....Wapelelezi wanaitumia sana hii mbinu
thubutuuu utaingia chaka kuna watu wakavuu balaa..
 
Back
Top Bottom