Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,435
- 867,135
Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na umbo zima la usoni
Kuna macho ya mshangao
Kuna macho ya majonzi
Kuna macho ya kuogofya
Kuna macho ya soni
Kuna macho ya hasira
Kuna macho yanawaka nk nk
ni ngumu sana kupata picha halisi ya hisia za mtu kama hujaona macho/uso wake
Sasa kuna haya macho yasiyobeba hisia zozote na hii ni kitu kinachotoka moyoni na kwenye ufahamu! Macho ni tochi tu ya kumulika lakini hisia ziko ndani ya moyo na ufahamu
Macho ya namna hii wanayo watu katili watu wenye rohombaya watu wanaotisha wasio na hisia zozote za kiutu ama kibinadamu.! Macho hubeba uhalisia wa mtu kwa kiwango cha juu mno
ukiwa kwenye jumuiya leo iwe ofisini sokoni au kwenye usafiri chunguza macho ya watu utagundua mengi