Macho yasiyo na hisia yamebeba ukatili

Macho yasiyo na hisia yamebeba ukatili

Kamwe Usijaribu kukwepesha macho hutaweza tena kungalia mtu uliyekuwa unaangaliana naye..inapoteza confidence kabisa
Nimewanyanyasa sana traffic kwa hilo poze[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji16]

1477480287754.jpg
1477480302717.jpg
 
Mi natamani niwe na hayo macho ili watu wasinisome
 
Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na umbo zima la usoni
Kuna macho ya mshangao
Kuna macho ya majonzi
Kuna macho ya kuogofya
Kuna macho ya soni
Kuna macho ya hasira
Kuna macho yanawaka nk nkView attachment 424363View attachment 424365 ni ngumu sana kupata picha halisi ya hisia za mtu kama hujaona macho/uso wake
Sasa kuna haya macho yasiyobeba hisia zozote na hii ni kitu kinachotoka moyoni na kwenye ufahamu! Macho ni tochi tu ya kumulika lakini hisia ziko ndani ya moyo na ufahamu
Macho ya namna hii wanayo watu katili watu wenye rohombaya watu wanaotisha wasio na hisia zozote za kiutu ama kibinadamu.! Macho hubeba uhalisia wa mtu kwa kiwango cha juu mno View attachment 424367 ukiwa kwenye jumuiya leo iwe ofisini sokoni au kwenye usafiri chunguza macho ya watu utagundua mengi
Dawa aifuagi miwani.
 
Back
Top Bottom