Macho yasiyo na hisia yamebeba ukatili

Macho yasiyo na hisia yamebeba ukatili

Kuna mwanamke mmoja, ana macho kama ya paka kabisa, almost kama bundi, huwa nikimuona nakwepesha macho kabisa, namuona mchawi sana au malaya sana, ndio hisia zinanituma, nikimuona tu nakosa furaha kabisa, she is 36 yrs.. macho ni kitu kingine aiseee
 
Sijawahi kutumia kilevi chochote,nile mmea si nitavua hadi nguo mshana jr?
Hapana mmea una roho ya manuizi ukinuia kufanya fujo utafanya ukinuia kuokoka itakuwa hivyo nk [emoji23]
 
Kuna mwanamke mmoja, ana macho kama ya paka kabisa, almost kama bundi, huwa nikimuona nakwepesha macho kabisa, namuona mchawi sana au malaya sana, ndio hisia zinanituma, nikimuona tu nakosa furaha kabisa, she is 36 yrs.. macho ni kitu kingine aiseee
Mtokee siku moja[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mkuu mimi macho yangu huwa hayatulii sehemu moja, hata mama yangu kila tukionana ananambia mbona unatoa macho tu, macho kama mwizi.

nakumbuka mitihani fulani msimamizi alinibana mwanzo mwisho,alinipekua tofauti na wote kila mtihani.

mtihani wa mwisho akaniita niweke sahihi kama shuhuda akanambia "macho yako yalikuwa yananipa mashaka sana"

mkuu sasa nambia haya macho ambayo hayatulii tunakuwa na tabia gani wezi, waongo, wajanja, ama m bwege tu.
 
Hayo yako ni yenye hisia tofauti tofauti kulingana na mazingira inawezekana kabisa una nyota ya mbuzi au kima [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio maana detectives wengi huvaa! Miwani imebeba siri kubwa (myeusi)
Kuna miwani flani hivi midhili ya myeusi lakini sio nyeusi kabisa
Viongozi makanjanja na wasio jiamini kwa mambo yao hupenda kuivaa like Mzee Nyoka wa Makengeza
 
Jicho la mwisho wa mwezi
 
Attachments

  • FB_IMG_1472578844431.jpg
    FB_IMG_1472578844431.jpg
    15.3 KB · Views: 112
Bujibuji na mshana jr. mmenifanya niamkie kucheka mpaka badala ya kettle natamani nifungue fridge. Acheni jamani watu mbavu zinauma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole dada
 
Back
Top Bottom