Ukivaa shades halafu umesimama kwenye umati mnasubiri kiongozi fulani apite wale walinzi huwa wanapata shida sana! Maanake wanategemea kuwasoma watu macho wajue intentions. Nimeshashuhudia hali hii sana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio maana detectives wengi huvaa! Miwani imebeba siri kubwa (myeusi)
huu ujanja ngoja nikautumie mahali atakomaUkiingia mtumbulie macho bila kupepesa na ili upate confidence zaidi mwangalie juu kidogo ya macho yake utakuwa unaona paji lake lakini yeye atadhani unamwangalia yeye
Kamwe Usijaribu kukwepesha macho hutaweza tena kungalia mtu uliyekuwa unaangaliana naye..inapoteza confidence kabisaUkitaka kujua mtu anaeongea uongo muangalie machoni bila kupepesa macho utamuona anaanza kuona aibu au kiangalia pembeni....Wapelelezi wanaitumia sana hii mbinu
Wacha weee unakodoa kodooooohuu ujanja ngoja nikautumie mahali atakoma
tena kodooWacha weee unakodoa kodooooo
Unakuta mtu yupo studio anahojiwa socially yeye katinga miwani ya giza sintofautishi na mtu anayetukana kwakuwa tu ana ID bandia
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Doh! Sasa nimejua nitakua naangalia watu machoni kabla ya kutaniana nao wengine sio wa mchezo mchezo [emoji3][emoji16][emoji23][emoji119]
View attachment 424547