Macho ya BANGE au Uchungu wa NGWEA? Tuongee ukweli

Macho ya BANGE au Uchungu wa NGWEA? Tuongee ukweli

Sidhani ni bangi. Ninachokiona mimi ni Ngwea na kumbukumbu za machungu aliyowahi kumgusa katika maisha!.

mie huyo mama tu jamani, yaani nikimuona nasisimkwa mwili,Mungu ampe nguvu kwa kweli.
 
Nyie watu wa hapa JF kuweni na adabu! Hamjui kua Afande Sele naye alishasema atatangaza nia ya kugombea Ubunge???

Waone!
 
Heh. Upo? Nikajua ume-rip na ngwear!
Mboga zipi zinachakaza mwili kwani?

Mie ndio M 2the P.....niliponea chup chiz.....
Mie najua mboga za majani zaleta nuru kwenye mwili sasa nashangaa Bujibuji anasema baba Tunda kachakazwa na 'majani'
 
Last edited by a moderator:
Mmmh haya mambo ya kuiga haya...urastafaria halafu mchafu. ..yani huo mkusanyiko wa madevu hata haupendezi.
 
Back
Top Bottom