Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,093
- 27,183
He he heee! Hii ya dalili kumfanya mtu akamatwe nimeipenda!Hivi sheria za vilevi havimkamati mwenye dalili zote za utumiaji wa madawa ya kulevya kama Bangi,Unga,Mrungi na mvuta bangi?...
He he heee! Hii ya dalili kumfanya mtu akamatwe nimeipenda!Hivi sheria za vilevi havimkamati mwenye dalili zote za utumiaji wa madawa ya kulevya kama Bangi,Unga,Mrungi na mvuta bangi?...
​nipo Bujibuji,umenimiss?
Inasikitisha sana... Sijui wamekosa discipline au ni kutokujua? Nadhani wanasahau wanatizamwa na watu wengi atleast wangeonyesha respect kidogo. Wasanii wetu wanajisahau sana ndo maana mwisho wa siku financially wanabaki weupeeeee......Mkuu huwezi amini kina mox na wengne walienda kuchukua mwili wa ngwair muhimbili wakiwa chakari.
​nipo bana usinimissplace teh!!Nimekumiss hadi nimekumissplace