Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Machinga wanamlilia marehemu badala ya kulilia katiba mpya itakayojenga taasisi imara na sio mtu imara ambaye anaweza kutwaliwa na kifo muda wowote.
View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.