Machinga waandamana Mwanza leo

Wanadai vipi tena wakati wameshapatiwa maeneo rasmi? Halafu ziko huduma za kuidai Serikali siyo vizimba vya machinga.
 
View attachment 1984505



Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.

Ya magufuli yamekwisha ya kuruhusu watu kufanya biashara kihuni Bila utaratibu maalum sasa tuko kwenye zama za kufuata sheria na utaratibu wa kufanya biashara huwezi kuruhusu biashara mbele ya maduka ya walipa kodi au kwenye njia za watembea kwa miguu ukasema ni utetezi kwa wanyonge.
 
Mainstream media inajitahidi sana kuichuja hii habari ionekane zoezi limefanikiwa bila changamoto zozote.

Actually,Serikali ikimaliza kuwapeleka hao machinga kwenye hayo maeneo iliyoyatenga ihakikishe inawapelekea na misongamano ya watu huko kinyume na hapo ni kupoteza muda tu.

Kikwete pia aliwaondoa 2006!!
 
Mama atamtumbua RC mwisho wa siku hao hao machinga wanamsifia mama. Politically mama anachukua point tatu.
 
Meku inakuwaje tena Chadema mnakuwa na bifu na wamachinga?
Au kwa kuwa walisimama na mtetezi wao? Chadema hamjawi kuwa na akili.
Huko ni kujidanganya.
Wamachinga mliwadekeza nyie wenyewe, mkawalaghai kwa vitambulisho mbuzi, mkawapa kiburi cha kufanya lolote, chochote popote ili wawe mtaji wenu kisiasa.
Sasa kama mmewachoka kwa vile kura zenu mwaweza kuzipata tu hata kama wapigaji wakiwa hawapo, tafuteni namna ya kuliwazana
Bomu litapolipuka halitamuacha salama hata aliyeliundaili mradi yupo karibu.
 
Ninutaratibu tuu. Ccm iliwalea vibaya hawa jamaa.
Hakuna umachinga wa kuweka meza na vibanda.. Watembeze mizigo yao. Wanao weka meza ni wajasiria mali sio wamachnga
Kwa kuwa umeajiriwaa, ndio maaana unabwabwaja tuuu
 
Watafutiwe na nani ? Wafuatevtaratibu za kukodi fremu kama watu wengine
 
Naunga mkono kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wachache wanaohatarisha amani.

Machinga gani anaagiza mzigo china?
 
View attachment 1984505



Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.

Hawa walikuwa mtaji mkubwa wa chadema kabla ya 2016 walitumika kwenye kila maandamano
kwa kuwa Magufuli alikuwa upande wao leo chadema wanataka wapigwe na kuchakaa siasa bhana wamesahau ile demokrasia na maandamano wanayodai kila siku.
Katika maisha mtu anakaa upande wa mtu atakaye serve interest zake na sio vinginevyo.
"The more i learned about people the more i loved my dog" Enstein hukukosea.
 
View attachment 1984505



Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.

magufuli aliwatetea kwa maslahi yake binafsi ili wampe kura, akijua ataongoza milele. Matokeo yake kafa.

Wasukuma mtuachie rais wetu Samiah msimbuguzi yupo sahihi kabisa. Anafanya vzr sana.
 
Back
Top Bottom