Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?


Una uhakika gani kama huo UKIMWI haupo na Nyumbani Kwako Mkuu?
Si kupima, whay always criticism? Kwanini mtu akisema jambo linalojenga tusimpe credit? Why kumkatisha tamaa? Ili ionekane tumecomment? Dah tubadilike. Thread ni very constructive lakini umemkejeli vibaya. Huo siyo uungwana wa Mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom