Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Heshima Mkuu!

Uchangudoa si kazi kama bank teller wala communication officer kama ulivyoiita.Ni chukizo mbele za MUNGU na adhabu yake ni motoni (Nb;kwa wanaoamini).

Hujawahi kujiuliza kuwa ni kwanini hairasimishwi?.Kwanini hawalipi kodi?. nk?.
Ulaya inatambulika kisheria na Ni taxpayers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom