Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Viongozi wa mitaa ya sinza mmeshindwa kazi inabidi muwajibike
 
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Mkuu dunia ipo tofauti sana na uwazavyo. Hata yule unaye muamini na kumkabidhi maisha yako na kulana kavu kama mume/mke nae anaweza kuwa analiwa na mwingine/wengine kavu bila woga. Lakini haya ndio maisha usiogope ndoa au mahusiano. Omba Mungu akulinde tu. NB: Sihalalishi ukahaba na uzinzi, chukua tahadhari.
 
wale warembo wamejito muhanga. ila we unayenunua ndiyo huogopi ukimwi????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
wanalalamika humu weeeee,kumbe ndio wateja wakubwa wa nyama tamu tena wanalilia tigo kwa bei poa huku wanabembeleza punguzo la bei.
 
Aisee hawa watu ni shida afu ukikatiza mitaa waliopo unawezaahirisha hata unakoenda... Juzi napita zangu naskia mtu anasema njoo nikupe mk... Kugeuka hivi kumbe anaongea na simu mweeh nikasema afadhali maana angekula makofi
makofi ya nini buraza? mtu anatangaza mtandao pendwa wewe umuchape makofi?
 
Hebu acha hizo mkuu. Hii dunia ilipofikia bado unataka kuwapangia watu maisha yao?
 
wanalalamika humu weeeee,kumbe ndio wateja wakubwa wa nyama tamu tena wanalilia tigo kwa bei poa huku wanabembeleza punguzo la bei.
Wateja wao ndiyo hawahawa wanaokuja humu kuwatuhumu kwani wana wafuata majumbani wanazipeleka huko huko bunduki zao kujiabisha wauzaji na wanunuaji wote akili moja na wote makahaba wake kwa waume kama watega wasingepatikana na wao wasingekuwepo hapo mori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa..nshampata mkuuu....si anakaa tegeta

Huyo huyo mkuu. Aisee ni fundi haswa halafu unajua wakati nakamua nilihisi joto flani hivi lakini nikapuuzia, kumbe aliitoboa pale pale wakati anaingiza daah yaani in short nilianza kupiga kavu kuanzia mwanzoni. KUWENI MAKINI
Duh! Mnapita anga zile zile
 
Back
Top Bottom