Machali atolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu

Ameharibika sana huyu mama! Huko nyuma hakuwa hivyo. Nikikumbuka alivyoshiriki vizuri kwenye tume ya Mwakyembe, siamini!

Mkuu lazima abadilike, umeona m/kiti wake wa hiyo tume alivyofanywa, chezea LIWALO NA LIWE gavamenti wewe!
 
mambo mangapi wabunge wa ccm wanasema na hawatolewi....hili bunge letu lihona uonevu...mangapi wabunge wa ccm wanasema leo hii tu kuna shutuma wamezisema dhidi ya chadema bt hawafukuzwi, isitoshe bunge ni sehemu ambapo unaweza kusema unachotaka na usishtakiwe lakini huko siko tunakoelekea
 
Kalipwa ukuu wa mkoa ili awe mmoja wao katika kufunika maovu, kupaka uchafu na uozo mafuta bila kujali harufu ya uvundo.
Ameharibika sana huyu mama! Huko nyuma hakuwa hivyo. Nikikumbuka alivyoshiriki vizuri kwenye tume ya Mwakyembe, siamini!
 
Mkuu wangu Gerrard nidhamu bungeni ni muhimu
Mbona Mwigulu Nchemba na Lusinde kila siku wanachafua hali ya hewa lakini Mwenyekiti anawabeba? Hata yule Profesa wa Uchawi aliposema Madaktari wagome kumhudumia Dr Ulimboka M/kiti hakufanya chochote?
 
Mkuu wangu Gerrard nidhamu bungeni ni muhimu
nidhamu ipi unayoizungumzia wewe,maana hata nafasi ya sampo man haiendani na kauli yake ya kikatili.LIWALO NA LIWE ule si utovu wa nidhamu kwa kiti na watanzania wote.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SG8
it was not fair,wamemwonea machali, kama utovu wa nidhamu basi stella manyanya na mwigulu chemba ndio hawana disciplin. kwani huyu stella manyanya ni injinia wa nini? au injinia wa majungu na umbea?

uinjinia autoe wapi?, she is just ELECTRIC TECHNICIAN aka Fundi Mchundo
 
Back
Top Bottom