Machali atolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu

Ameharibika sana huyu mama! Huko nyuma hakuwa hivyo. Nikikumbuka alivyoshiriki vizuri kwenye tume ya Mwakyembe, siamini!
Nafikir wewe ndio ulikuwa humjui vizuri.. Huyu aliharibika zamani na ile Tume ya Mwakyembe ilikuwa vita vya Makundi tu. Umesahau alivyoropoka kuhusu Mke wa Dr Slaa?
 
Mbunge Machali ametolewa nje leo sababu amekataa kukaa baada ya Mwenyekiti kumwamuru akae!
 
Safi anayejamba anatolewa nje bunge ni mahala pa heshima kwnn ajambe

Unaonekana wewe unahusudisha kujamba kujamba inaonekana ni muumini mzuri wa falsafa ya Davide Cameroone maana washiriki wake ndo mabingwa kujamba kujamba pole mkuu!
 
Jamani hawa magamba ndio wanakata roho taratibu,ngoja tuwavumilie hadi 2015.Tutaona jeuri yao iko wapi.
 
jamani wala msishangae.Hata timu ya mpira ambayo ni mbovu ikizidiwa inapiga kwa kubutua.Wanachofanya ccm sasa ni kubutua manake wanajua wanaachia kila kitu baada ya muda mfupi sana ujao
 
Kunahaja ya kuhoji huo u engineer wake.sijapata kuchefuka kama leo nilivyochefuliwa na huyo changu wa magamba.
 
wakuu, kwa mtu muungwana lazima akifika ugenini lazima asalimie wenyeji. nami natoa salaaaaam nyingi sana jf sbb ni mgeni. tirekebishane tutakapokosea.
 
tulisema chadema sio akina john komba,profesor maji marefu na takata nyingi ndani ya ccm chadema kichwa kimoja ni sawa na wabunge 50 wa ccm hivyo tume ya katiba poleni sana mnaumbuka mchana kweupe
50 tuuuuuu!!! Mbona kidogo sana. Labda cdm=200xccm.
 
tulisema chadema sio akina john komba,profesor maji marefu na takata nyingi ndani ya ccm chadema kichwa kimoja ni sawa na wabunge 50 wa ccm hivyo tume ya katiba poleni sana mnaumbuka mchana kweupe


Mkuu, umewapaisha sana CCM. Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 101 wa Magamba, tena wazembe wa kufikiri kama kina Lukuvi na kina Komba wamo hata 191 kabisa, Chezea Mnyika weyee
 
Safi anayejamba anatolewa nje bunge ni mahala pa heshima kwnn ajambe

Valisha nguo ya ndani hilo shimo, au kwa kuwa Magamba wenzio hawajajishembendua kuliwekea tax ndo maana unakurupuka tuu.
M4C
 
Yeyote anakejeli kutekwa kwa dr ulimboka basi hana akili timamu na haitakii mema tanzania
 
Back
Top Bottom