Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Kiranga nahisi alihusika na kuzalisha hii Bongofleva classic “Oyaa msela”.


View: https://youtu.be/RuFKDEkcjH0?si=mz3DhXcTmH8Zsrbs

Othman Njaidi alirap verse moja nadhani. Kolumba Mwingira background vocals.

Nakumbuka wimbo ulirekodiwa Mwenge kwenye studio za Clouds, pale karibu na kanisa la Maxmilian Kolbe.

Halafu mdada aliyeimba chorus sijui yuko wapi siku hizi!

Braza Othman Njaidi alipata msala USA i hope unajua hilo.
Nadhani alikua deported bongo..
 
Nakumbuka Mzizima.

Yangu niliipiga vilivyo mpaka nikashangaa mwenyewe. Nilikwenda nikifikiri itakuwa ngumu, kumbe ikawa ya kawaida saana.
Kuna center nyingine baadae ilikuja kuwepo pale posta opposite na sanamu la askari...
Lakini wadogo zenu tulipitia njia za panya kusogea.....ndoto ikiwa Singapore na Far east......!!!!Nyinyi mlikua smart ila wengi wetu baadae unga ulitupoteza kidogo tukatoka nje ya ramani.....kisa kuiga umarekani...
Lakini tulikaa sawa sababu tulikubali kubadilika..na kurudi shule kuongeza elimu.
 
Braza Mpemba alifungwa mahabusu keko afu akaachiwa baada ya wiki....
Kwa hasira akatugawia nguo na akazamia meli wiki hiyo hiyo akidai bongo KUNANUKA KAMA YAI VIZA.......😂🤣🤣🤣🤣🤣
Walimkamatia Comoro baada ya wiki taru wakamrudisha akala nyundo keko tena miezi sita......na faini juu.......TOKA HAPO ALIFANYA MICHAKATO HALALI NA AKAOA AKAWA BABA BORA NA MFANO WA KUIGWA KWETU VIJANA WOTE WA MASKANI YA KIDONGO CHEKUNDU..
NB: ENZI HIZO BANDARI NYEPESI KUZAMIA NI DAR AU TANGA AU MOMBASA.
Huyo ni Mungu alikuwa upande wake, angefanikiwa kuzamia huenda ndio ungekuwa mwisho wake.
 
Kwenye baadhi ya videos zile za kwanza kabisa za KU nimo 🤣🤣
Braza Kiranga nishakujua....kama kwenye zile rap concerts za Kim mlikua mnafanya kopi za kiingereza...nishakujua wewe na mabishoo wenzio wa osterbay...
Kuna video mbili za KU za mwanzo kabisa ngoja nikutafute...
Tatizo nyie mabraza wa KU na wapambe wenu mlikua wengi sana nadhani mlijiunga na mabraza wa temeke.....afu baadhi mabishoo na baadhi masela.......mlitusumbua sana don bosco center's na magari ya baba zenu.....Nadhani unamkumbuka yule sista mtoto wa Mengi alikua sista poa sana kwa sisi madogo janja kule don bosco osterbay
 
Haha.

Salamander umenikumbusha Carl Lewis.

Carl Lewis michongo yote ya mjini anaijua yeye. Ukitaka passport, I-20, visa, tiketi, mpaka bank statement anajua yeye.

Nasikia waliivunja ile sehemu. By the way pale pana historia ndefu sana, mpaka Nyerere alikuwa anafanya mikutano yake ya kudai uhuru pale.
Salamander eneo la kihistoria ila kapewa GSM kajenga mall yake hapo
 
Nelson Jacob Kagame unamkumbuka the man from east zooner na jamaa Mwingine anajiita divi la mkazuzu 😁
East zooner......ngoja nimcheki mdau flan anikumbushe.....duuh bro wewe old skul....kumbukumbu zipo ila nilikua dogo janja vingi mpaka nitulie afu ndio nikumbuke.....mda umeenda mno....ilikua mid 80,s up to 90,s ndio tupo madogo janja.
 
Nafikiri uko sahihi maana jamaa alikuwa anaconda sana lugha na kuishi mamtoni aisee kumbe watu wanatoka mbali aisee
Huyo utakua unamsema braza MKALIMANI...mpaka akilala anaongea kingereza.....madogo wa muhimbili primary school full kumkwepa wanaogopa kuongea kingereza 🤣🤣🤣
NB : Jamaa ni kweli baadae alifuzu udaktari wa binadamu au??????
Maana kuna mda akirudi bongo afu mishe zikawa nyingi saana..
 
Huyo utakua unamsema braza MKALIMANI...mpaka akilala anaongea kingereza.....madogo wa muhimbili primary school full kumkwepa wanaogopa kuongea kingereza 🤣🤣🤣
NB : Jamaa ni kweli baadae alifuzu udaktari wa binadamu.
Ila jamaa ni mishen Town balaa managed alizamiaga kwa kaburu kudundisha chekechea alaf akaenda Korea akapata hela akajenga shule na kurudi bongo na mwaka 2010 nusura apate ubunge kwao Musoma baadae aka akawa mchambuzi clouds na Harris kapiga naona shule ilimshinda saivi kazamia tena Korea aisee mzamiaji akizoea nchi za ng'ambo hawez kuishi bongo
 
Ila jamaa ni mishen Town balaa managed alizamiaga kwa kaburu kudundisha chekechea alaf akaenda Korea akapata hela akajenga shule na kurudi bongo na mwaka 2010 nusura apate ubunge kwao Musoma baadae aka akawa mchambuzi clouds na Harris kapiga naona shule ilimshinda saivi kazamia tena Korea aisee mzamiaji akizoea nchi za ng'ambo hawez kuishi bongo
Mabro wa zamani walikua wapiganaji
 
Back
Top Bottom