Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Dah kweli wewe mkongwe. Unamkumbuka msela wa Aza Boi Batman
Kuna story nilipewa kua msela nondo Batman alikua anapanda kule juu ya dari hostel na kuanza kurap kiuongo uongo ili watoto wa jangwani wamuone kule upande wa pili kwenye canteen zao 🤣🤣😂😂....Hv yupo wapi now dayz brother??????
Hakupotelea ughaibuni kweli
 
Kwahiyo wewe ndio umeshindikana? 😂😂
Mm nimetulia now na nina familia na maisha yanaendelea...
Sema unga ndio kidogo unipotezee future!!!
Ila watoto wa mjini hatusahau tulikotoka......miaka hiyo ya mid 80,s na 90,s na 2000,s...tukaacha utukutu rasmi 2015 Magu alitunyoosha SALUTI KWAKE 🤣🤣🤣......ila mara moja moja tunakumbushia maujanja 🤣🤣🤣
 
Ni kweli vijana wa Aza Boi na Tambaza za enzi hizo walikuwa masela lakini wapo vema kichwani. Eng na MD walioshika hatamu sasa chimbuko lake ni shule hizo kuanzia 1980's na 1990's.
Asilimia 65% ya mabraza wangu wote wa kitaani waliosoma Tambaza na Azania miaka ya 80,s na 90,s either ni madaktar au mainjinia au wahasibu au wanamziki wa culture groups ughaibuni.....na wengine wajasiriamali wa kati na wakubwa.
Walikua hawataki tucheze na shule..na ndio maana walinipigania sana unga ulipotaka kunipoteza...
 
Mm nimetulia now na nina familia na maisha yanaendelea...
Sema unga ndio kidogo unipotezee future!!!
Ila watoto wa mjini hatusahau tulikotoka......miaka hiyo ya mid 80,s na 90,s na 2000,s...tukaacha utukutu rasmi 2015 Magu alitunyoosha SALUTI KWAKE 🤣🤣🤣......ila mara moja moja tunakumbushia maujanja 🤣🤣🤣
Safi sana 👏🏽👏🏽

Vipi mishangazi je? Umeiacha?
 
Mm nimetulia now na nina familia na maisha yanaendelea...
Sema unga ndio kidogo unipotezee future!!!
Ila watoto wa mjini hatusahau tulikotoka......miaka hiyo ya mid 80,s na 90,s na 2000,s...tukaacha utukutu rasmi 2015 Magu alitunyoosha SALUTI KWAKE 🤣🤣🤣......ila mara moja moja tunakumbushia maujanja 🤣🤣🤣
Pole mkuu
 
Huyu si yule msaniii wa zamani mtangazaji hadi sasa akijiita Soggy Doggy Hunter?
Mzee wa kibanda cha simu?
Hapana....soggy ni makamo ya watoto wa baadae..alikua dogo kipindi hicho.
au bado anapelekwa chekechea..Nazungumzia 1986- 1988 hapa mkuu!!
 
Sasa bro kiranga...ndio wale mabishoo waliokua wanarap rap kwenye matamasha ya KIM
Wacha wewe. Kim nimemfahamu akiwa bado young na mimi nikiwa mdogo kwake, walikuwa wanaishi kule Mlalakua karibu na flats za jeshi. Mama yake alikuwa mhaya na design mzuri wa nguo akiwa amesomea Marekani.

Kama sikosei Baba yake Kim aliwahi kuwa mkuu wa mkoa Dar.
 
Ndio maana Kim kuna nguo alikua anavaa za vitenge hivi kama boyz to men...!!
Yeye na akina Othman njaidi.....
Boyz 2 men wa bongo!!!!
 
Back
Top Bottom