Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,192
- 144,037
Kiranga nahisi alihusika na kuzalisha hii Bongofleva classic “Oyaa msela”.Kiranga kumbe ni wale mabroo waliokua wanarap zile nyimbo za MC hammer kabla ya Diplomat......ngoja nitafute picha zao nimtumie moja ajione....🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/RuFKDEkcjH0?si=mz3DhXcTmH8Zsrbs
Othman Njaidi alirap verse moja nadhani. Kolumba Mwingira background vocals.
Nakumbuka wimbo ulirekodiwa Mwenge kwenye studio za Clouds, pale karibu na kanisa la Maxmilian Kolbe.
Halafu mdada aliyeimba chorus sijui yuko wapi siku hizi!